kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna kitu CCM wanakilinda kwa jasho na damu ambacho hatukijui

    Kuna Siri CCM inaficha watanzania na ambayo itakuja kutuumiza au kuumiza vizazi vijavyo. Kuna kitu CCM inakilinda kwa jasho na damu, ni kitu Gani hiki?. Kwa fikra zangu za kawaida sidhani kama ni madaraka. Kuna kitu Zaidi ya hapo. CCM wapo tayari kummiminia risasi raia Tena kwenye maeneo ya...
  2. Usaliti wa mapenzi si kitu cha kawaida

    Kuna wengine huja kusema eti, mwanaume ni kawaida, kupata radha tofauti..., Hapana ni maamuzi binafsi, mtu kama anakupenda kweli, hawezi kujikuta ametamani mwanamke mwingine. Ogopa sana mtu akuambie nilipitwa, trust me, huyo hana mapenzi ya kweli kwako. Mtu anayekupenda kweli atakujulia hali...
  3. Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

    Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana... Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa? Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu? Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo...
  4. Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba. Kwa mujibu wa mila za...
  5. Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

    Kuna hivi vitambaa waarabu hujifunga vichwani. Vinaitwa Keffiyeh. Ndiyo asili ya neno Kofia? Na neno baraghashia limetoka wapi?
  6. Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

    Hii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem. Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
  7. K

    Msishangie kila kitu wana CCM . Kuna mpango wa kuvunja mihula kunufaisha wachache. Woga wenu mtaishia pabaya

    Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu. Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
  8. Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

    Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao. Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili. Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
  9. WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  10. R

    Kesho wakileta fulana na kofia yanasahau kila unyama waliofanyiwa

    Bomoa bomoa Kaza buti yatie adabu maana hayafundishiki kuwa ccm ni mashetani
  11. Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  12. Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
  13. Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  14. October 29 ni kama kuna kitu CCM wanakazia kuogopa

  15. Jicho la Tatu: Kila Kitu Unachopaswa Kujua

    JICHO LA TATU _ KILA KITU UNACHO PASWA KUJUA. 👉Kwa karne nyingi watu wamekuwa wakizungumza kuhusu Jicho la Tatu. Baadhi ya watu hulitafuta jicho la tatu kama nyenzo au njia ya kuwasiliana na viumbe wa ulimwengu mwingine wasioonekana, wengine huliona jicho hilo kama chombo cha kuwasaidia...
  16. Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna kitu cha kujifunza

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amuhttps://youtu.be/585IMBb14Kg?si=ZnO8wzvvxewNUGP-a?
  17. M

    Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  18. S

    Naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu, au kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?

    Kuna mtu kanichanganya hapa, naomba ufafanuzi: Kitu kisicho halali ni haramu? Kuna mazingira ya kufanya kisicho halali kisiwe haramu?
  19. Nikiwa sina hela kila kitu nakiona kero na nakuwa na hasira sana

    Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero. Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu. Kuna wakati...
  20. Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…