kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Kwa mliofunga centrifugal pumps kwenye matenki yenu mnisaidie ufafanuzi wa hii kitu

    Kwenye hizo picha nimeambatanisha utaona baada ya kuconnect hiyo pump jamaa anamimina maji kwa juu kwenye bomba lililosimama. Naomba kujua umuhimu wa kufanya hivyo. Na pia kuna haja gani ya kuwa na hiyo pipe inayoishia halfway. Kwani pakiwa na connection ya inlet pipe na outlet pipe pekee hazitoshi?
  2. Huyu jamaa akisema kitu ni kweli au kinakuwa

    Kwa mfano akisema wewe ni demu...kweli wewe ni demu na kama ulikuwa man unageuka kuwa demu kabisa. Mtagombana naye utajikuta unaanza andika kama demu au unamtukana kama demu. Nimeona akiwasema watu wawili humu kuwa si mademu jamaa kadri wanavyojitetea kuwa wao si men ni mademu ndo...
  3. Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  4. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  5. 4BEDROOMS GOROFA KALI SANA WITH TERRACE AT TOP MTEJA KAONA POST HAPA HAPA NA SISI TUKAMTOLEA KITU +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 TUNAPATIKANA DSM SINZA
  6. Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

    Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii. Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii? Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu? Ukifika...
  7. Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  8. Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!

    🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi! 🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales? 🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua? 🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua? 🎯 Unasema "We are open!"...
  9. Nimerudi nimekuta mke kaondoka na kila kitu

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  10. Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?

    Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?" Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka" Wewe je?
  11. R

    Never say never, kitu gani uliwahi kukiona sio hadhi yako ukajiapiza hutokifanya ila ukaja kukifanya

    Katika haya maisha kuna vitu huwa tunajiapiza hatuwezi kuvifanya kwasababu tunahisi sio hadhi zetu au vinatutia kinyaa lakini baadae tunabadili msimamo. Baada ya kumaliza degree nilijiapiza sitakuja kufanya kazi zisizo za ofisini, msoto ulinisugua bila mafuta, njaa inauma, nilianza kusaka...
  12. Unahitaji nini kutoka South Africa?

    Unahitaji nini kutoa South Africa? Branch zetu. Kamaha-Mkaba na Soko la Madi. Dar- Tunapatina Ilala. Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel. Next-Mwanza. Njia za naweza lipia nikama PayPal Bank Lipa Kwa Simu Wala Wala CRDB Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
  13. K

    TUWE NA UWAZI KWENYE KILA KITU TUNACHOFANYA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

    Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
  14. M

    YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

    Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na...
  15. Huu mfumo wa sis anayeuelewa anisaidie kitu

    Yaani serikali ina nia nzuri tu. Ila watu wake wanatuletea usumbufu. Huu mfumo wa sis.tamisemi.go.tz una wavuta wanafunzi kutoka prems hawaji na unakuandikia success Yaani sielewi elewi
  16. Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto...
  17. Mwamba kamaliza kila Kitu na nakubaliana nae 100% sasa tumpuuze tuendelee kuwa Masikini na Nuksi hadi Kiama

    Naomba radhi kwa Maneno kadhaa Makali yaliyomo, ila Kikubwa tu naomba tuyasikie yale ya maana / muhimu ambayo kayasema ambayo kwa 100% yamesababisha Wanaume wengi kuwa na Nuksi nyingi na kila Siku tu Maisha yetu kuwa Magumu huku tukimsingizia Shetani kuwa Msababishi wakati kumbe Kiuhalisia...
  18. Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  19. Loyalty ya mwanamke inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa hana kitu. Loyalty ya mwanaume inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa na kila kitu.

    Ukata umewakimbiza wadada wengi, unafuu ndio umewaleta karibu. Wengi wao wamekuwa evolved kutokujali kama yuko deeply connected na wewe as long as una uwezo. Vijana wengi wa kiume waliokuwa na ukata waliwashikilia kwa dhati wenzi wao na wakawafabya faraja yao kipindi walikuwa hawana chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…