kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Hawa waafrika wenzetu wamekataa kabisa ku evolve ? Si kila mila ya asili ni ya kutunza, vingine ni ushamba

    Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha. Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
  2. Mungu kutupa ubongo/akili huenda alimaliza kila kitu

    Habari gani wakuu? Kama kinavyo jieleza kichwa Cha uzi hapo juu kwamba... Kama ilivyo kwa gali mpya uinunuapo Basi lazima utapewa tool box ambayo itakuwa na vifaa vyote mhimu kwa ajili ya kuitengenezea gali yako itakapo pata tatizo la kiufundi Basi hivyo ndivyo ilivyo kwa ubongo juu ya...
  3. R

    The Epstein Files: Elon Musk amemhusisha Trump na Epstein file. EPSTEIN FILES ni kitu gani?

    Trump na Elon sasa hawaivi, maadui kabisa! Epstein files ni kitu gani? zina nini ndani? Umuhimu wake ni nini? Nimejaribu kutafuta kwenye mitandao nikapata kitu kama hiki , na nikiri sikufanya undani sana maana ni kitu kinachohitaji muda mwingi kukitafuta kwa undani. Inawezekana nikawa...
  4. Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  5. PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  6. Pamoja na mambo mengine ila huyu ana kitu fulani

    Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio. Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi. Inamaana gani Wakati jamaa aliinhiziwa kitu kwenye kinyeo, halafu baadae unaingiza vidole. Hakika...
  7. Tayari nishapigwa na kitu kizito sijui nifanyaje

    Wasalaam Juzi hapa nilileta uzi kuutarifu umma wa JF naishi na binti mbichi wa 2005 bila kwao kutambulika Nilishambuliwa na members watakatifu wa JF kwa nini sijajitambulisha nyumbani kwa binti naishi nae kimya kimya atakuja kunifia ndani Sasa jana nipo maskani na bibie tunapata dinner naona...
  8. Kuna umuhimu gani wa kuwapigia kura wabunge ikiwa kila kitu katika Jimbo husika kafanya Mama?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za mama Matunda ya Mama Papuchi za Mama Mijurubenge ya mama Barabara za Mama Mimba za mama Mbususu za...
  9. Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi. Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
  10. Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

    Afya imeyumba Sana Uchumi sio tu umeyumba umepotea kabisa Madeni chungu zima!! Dah back in 2022 graph yangu ya maisha ilikua bora sana 💔💔💔💔 Sadly ndugu wanasema nimerogwa kumbe ni aviator Aviator aviator aviator aviator you are killing me and my generation 💔
  11. D

    Kesho tarehe 01.06.2025 ni siku ya jumapili, je, tujiandae kwenda kanisa la ufufuo na uzima kuona dude likiamshwa au hakuna kitu?

    Naomba majibu
  12. Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

    Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄 Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk.. Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza... Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa.. NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
  13. Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

  14. Sanaa ni kila kitu

  15. M

    Msikilize vizuri Lukuvi hapa, kuna kitu utagundua.

    https://youtu.be/pmlrlWpEpKI?si=l_PDJuGUWLNtTOHF
  16. Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  17. Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  18. Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

    Beauty is in the eye of the beholder! Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla. Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe. Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp...
  19. Kitu cha kushangaza mnafungia mtandao wa X ila bado mnatumia serikali kutangaza habari zenu kutumia VPN

    Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane. Mbona...
  20. Imani ndio kila kitu...

    Lakini pia kuna wakati wa kupata💪🏿👌🏿
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…