kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
  2. Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  3. U

    Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

    Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote 3. Kupunguza uhasama –...
  4. Nini hatima ya Tanganyika baada ya kuuza na kugawa kila kitu

    Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana hii ni nzito na ni muhimu kwa mustakabali, uhai na ustawi wa Tanganyika 1. Kupotea kwa Maamuzi...
  5. U

    Moja ya kitu nimefurahia awamu hii ni Mama kuwakumbuka wastaafu

    Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka Tsh 100,000 hadi Tsh 250,000 kwa mwezi
  6. Aisee utajiri sio kitu rahisi kumbe

    Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town (sio kujenga) Au hela Mazee imepungua thamani Najikuta na grind sometimes lakini nikijaribu kufanya...
  7. Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  8. Hiko ndio kitu wanachokuja kufanya Wachina Tanzania

    Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa Serikali za Africa hazina hata mpango Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu. Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania Africans tutabaki kuwa...
  9. Elezea hii kitu kisayansi

    Kama video inavyoonyesha.
  10. A

    Jinsi Ya Kumshawishi mtu afanye kitu unachokitaka kwenye Matangazo Yako, ujumbe wako nk kwa kutumia maneno haya matano

    Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye Ushawishi kwa sababu Binadamu...
  11. B

    Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

    Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine . Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida. Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile...
  12. S

    Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  13. Q

    PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani. Wengi...
  14. Ukitaka kufanikiwa kibiashara, kaa mbali na walioajiriwa, hawawezi kukushauri kitu

    Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala. Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma. Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya. Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
  15. Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

    Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana. Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu? Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi? Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
  16. C

    Kitu gani kilikufanya ujitafakari

    Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania. Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda sana hawakutaka kunipoteza, kilichosaidia balozi alikuja kuwaamua na tangu hapo nilijitafakari upya na...
  17. C

    Kitu nilichokigundua kuhusiana na kuku

    Mwanzo nilikua najua kwamba ili kuku watage mayai lazima wawe wamepandiwa na jogoo, nilikua na amini hivyo kwa miaka na miaka hadi siku za karibuni Kiuhalisia ni kwamba kuku anataga kwa mzunguko wake wa kawaida hata bila jogoo lakini mayai yake hayataweza kutotolewa bila jogoo Hicho ndo kitu...
  18. Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

    Kwema wakuu, Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli. Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea kubisha!
  19. R

    Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

    Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA. Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
  20. Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

    Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo. Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…