Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina kamati mbalimbali huwa wanazunguka kila mkoa,Ila sijawahisikia wakikagua miradi ya Zanzibar.
Hili ni Bunge la Tanganyika?
Kichwa kinauma sana kufanya utafiti wakujua ni Bunge la Jamhuri au la Tanganyika.
Nini kazi ya wabunge wanaotoka visiwani...