kisaikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    Simba tujiandae kisaikolojia hiyo june 15

    Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni jambo ambalo haliwezekani ili tusije kuanza kulaumu wachezaji baada ya mechi. Walau pointi moja...
  2. R

    Boniface Jackob, jiandae kisaikolojia, trust ni kwa Mungu pekee, SI wanadamu

    Salaam ndugu, Moyo wa mtu ni kichaka, Na duniani hapa, wanadamu wote hutenda DHAMBI, toba ndio kitu pekee Cha kuharakisha kufanya ikitokea umeteleza. Ninaona unajaribu Kurudisha watu warudi kumuongelea kiongozi aliyeshindwa uchaguzi na kustaafu. Yaliyo moyoni mwa role model wako, ummekiri...
  3. Tauceti Rigel

    Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  4. Prof_Adventure_guide

    Usitegemee Ndugu: Watakumaliza Kisaikolojia na Kukuteka Kimaisha

    Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua kukusaidia, mara nyingi wanakuwa na hidden terms and conditions ambazo hawazisemi hadharani, lakini...
  5. Friji la mtumba

    Cheating (Kuchepuka) Inaua Zaidi ya Mapenzi — Je, Watu Wanaelewa Madhara Yake ya Kisaikolojia na Kijamii?"

    Kuchepuka imekuwa kama kitu cha kawaida katika mahusiano mengi siku hizi — wengine wanakiona kama ujanja, wengine kama sehemu ya maisha. Lakini watu wengi hawazungumzii madhara makubwa yanayotokana na kutokuwa waaminifu. Baadhi ya madhara ya kuchepuka ni: Kuvunjika kwa imani (trust) — jambo...
  6. Ojuolegbha

    Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  7. Eli Cohen

    I feel for makutupora! Miaka 30 alafu unakuta mishe haziendi na dira ya maisha haiosomi, lazima uchanganyikiwe

    makutupora pole ndugu yangu. Msaada wako wa kwanza ni wewe ndugu yangu, nakuonaga wewe ni bonge la hyper katika nyuzi nyingi, nakushauri ujikimu katika u-MC, anzia events za mtaani kwa kufanya bure huku ukionesha passion. Ila tambua Wewe ni mmoja kati ya vijana lukuki wa aina yako katika taifa...
  8. DR HAYA LAND

    Kisaikolojia mtu akiwa ameajiriwa ofisi fulani anapokaribia kustaafu huwa anajitahidi kuhudhuria kila tukio na kuandaa events zakualikwa na zake pia

    Mngeiita tu SAMIA FESTIVAL… nadhani ingekuwa sawa tu. “kuliko kuweka hilo neno serengeti Majina ya Festival huwa yanatokana na either: • Unachotaka kukinadi • Unachotaka kukienzi • Unachotaka kukiwekea kumbukumbu • Maudhui ya tukio zima CHAGUENI MOJA, badala ya kudogosha our NATIONAL...
  9. Damaso

    Dimitri Payet kuchunguzwa na polisi nchini Brazili baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji

    Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake mwanadada Larissa Ferrari wakati wa mapenzi yao ya miezi saba. Nyota huyo wa zamani wa klabu ya West...
  10. W

    ninachoshukuru mingu nimejiandaa kisaikolojia

    habari ndugu zangu...!? ninachoshukuru nimejiandaa kwa lolote yani usipojiandaa hili tukio linaweza kukusumbua zaidi ya hata mwezi hivyo nimejipanga kuhakikisha sisumbuliwi anyway...! good luck to my club god help them to achieve their goal thanks
  11. Metronidazole 400mg

    Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

    Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini Direct kwenye mada. Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya...
  12. R

    Kwenu watanzania bara mlioomba TRA mjipange kisaikolojia ! Waombaji 135,027 nafasi 1,596 ukitoa nafasi 20 % za wazanzibari, mchuano ni mkali sana !!

    Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa...
  13. SSH2025_2030

    Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

    1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo 3. Wizara ya Fedha inataka mtu mnyoofu na mweledi...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  15. The Watchman

    Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Kisaikolojia; Watu wanaoonyesha Kujali mbele za watu ndio Wakatili na wale wenye kutoonyesha kujali Mbele za watu ndio wenye Huruma

    KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mara nyingi lakini sio zote. Watu wengi utakaowaona wanaonyesha kujali au kuonyesha huruma mbele za watu ndio makatili...
  17. M

    KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  18. Chakaza

    Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

    Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike. Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
  19. Mtu Asiyejulikana

    Mimi naelewa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu. So inahitajika pia ushauri wa Kisaikolojia kwa Team ya Yanga

    Safari ya Kujirudi na Hali ya Yanga Kuna kipindi nilijikuta nikitegemea sana pombe—whisky, gin, na bia. Ilifika hatua hata uwezo wangu wa kawaida wa kupiga shoo ulishuka sana. Nilikuwa siwezi kufanya chochote bila kunywa konyagi kwanza, na hapo ndipo ningechangamka na kucheza vizuri. Ili kuwa...
  20. D

    Nimeumbuka, naomba msaada wa kisaikolojia ndg zangu!

    Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
Back
Top Bottom