kipi

KDE Image Plugin Interface (usually abbreviated to Kipi or KIPI) is an API that allows creation of application-independent image processing plugins in the KDE project.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Nimebishana sana na huyu Msabato asubuhi Leo kati ya Yesu Kristo na Sheria kipi kinaanza, Yeye anadai eti sheria ila mimi nimewaambia ni Yesu yeye hat

    Wadau hebu nisaidieni. Mwana damu anaokolewa kwa sheria au kumjua Yesu Kristo? Nipe majibu haraka nimalizane na huyu msabato chapu
  2. F

    Kipi bora kati ya kumlipia mtoto private schools vs kumjengea mtoto assets na kumsomesha goverment schools?

    habari wadau. kwa mazazi mwenye kipato cha kumpa uwezo wa kulipa ada milion 3 kwa mwaka, ila hana hela nyingine ya kuwekeza ujenzi ama kuwekeza kwenye biashara. achague njia ipi ya kumuwekezea mwanae atumie hiyo hela kulipa ada, ili mwanae asome private schools, mbeleni mtoto aje ajiwekezee...
  3. Lamomy

    Ikitokea leo kipenzi chetu Tundu Lissu akishinda kesi yake dhidi ya Jamhuri, kipi utafanya ili kuonyesha furaha yako?

    Je, utachinja jogoo lako pendwa? Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu? Je, utaishukuru mahakama kutenda haki? Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!! Je, utaserebuka kwa muziki? Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
  4. M

    ukipewa option maiti yako izikwe au ichomwe moto hadi majivu utachagua kipi ?

    ukipewa option maiti yako izikwe au ichomwe moto hadi majivu utachagua kipi ?
  5. A

    Je, kipi kimefanyika kwa inspekta wa Polisi aliyeshinda tuzo ya fasihi Afrika?

    Kumekuwa na ukimya tangu Inspelta wa Jeshi la Polisi, Salim Hussein Ngazi aliposhinda Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026. Hatujaona kwenye vyombo vya habari, polisi ikitangaza ushindi wake na kumpa tuzo, pongezi na hata cheo kama walivyofanyiwa akina Ibrahim Bacca na...
  6. Mla Bata

    Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  7. jamaikatz

    Umri na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?

    Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?
  8. M

    Kipi kati ya hivyo mwanao anaongoza kupoteza shuleni?

  9. Mshana Jr

    Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya. Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili. Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
  10. T

    Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

    Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu. Au bora kutumia condom bila tetesi Naomba msaada wa mawazo katika hili. Natanguliza shukrani
  11. adriz

    Kipi kimesababisha watu wa Mikoani Dar kutoka kuwa 'dream city ' yao mpaka kuiponda ovyo?

    Moja kwa moja.. Zamani watu wa mikoani Kuja na kuwa na maisha Dar ilikuwa ndoto yao kubwa sana , Dar walikuwa wanaona kama 'New York City' 🌆 , mtu wa Dar ilikuwa ukipangiwa shule za mikaoni basi ukijulikana wa Dar wanakuona bonge la mtu na kuulizwa maswali mengi ya kuhusu Dar kutokana na shauku...
  12. M

    Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  13. Oscar Lyrics

    Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

    Hi guys, Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana Asanteni sana
  14. PROFOUND NOTION

    Hadi sasa ni kipi kinachokurudisha nyuma?

    1: Uchawi na ushirikina 2: Madeni yasioisha 3: Wadada wenye makebo makubwa 4: Pombe, beer, spirits, matapu tapu 5: Tabia na hurka zako binafsi 6: Fitina na Kufanyiziwa 7: Kipato kidogo 8: Matumizi makubwa na wategemezi wengi 9: Hauna ajira au kutokuwa na ajita ya kuaminika 10: Uraibu wa...
  15. Gunner11

    Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  16. Design Your Idea

    Kipi kifanyike kiinue uchangiaji katika forums za biashara, intelligence, ujenzi na tech. Zimepoa sana

    Karibuni
  17. Da_Hustler

    Je kipi ni sahihi

    Habari za jioni, kwa maisha yangu yote ya kuwa mkristo nimeaminoshwa kuwa Biblia ni uvuvio wa Roho mtakatifu/Mungu mwenyewe so Mungu huyu ni mkamilifuBinafsi napata contradiction through kuhusu imani hii based on Biblia husika inabishana naomba wana maandiko "Wasabato" na walokole mnosaidie hili...
  18. Jitu la Mara

    Congo DR ili iwe stable, kipi kifanyike?

    Habarini wanaJF!! Naamini humu Wasomi na watu wenye exposure wapo. Huwa natafakari bila kupata majibu kuhusu nchi jirani ya Congo. Maradhi(mf. Ebola), Vifo, Insecurity ni miongoni mwa vitu vinavyoichafua nchi ambayo ingestahili kuitwa Super Power duniani. Jeshini pia tuliimba nyimbo za kukemea...
  19. Jaji Mfawidhi

    Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  20. PAYE

    Kati ya Pesa, Mawasiliano na Wivu, kipi hasa kinasababisha ndoa kuvunjika?

    Wakuu Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa kuhusu migogoro ya ndoa. Mmoja anasema, “Ndoa nyingi zinavunjwa na pesa. Bila pesa, mapenzi yanageuka...
Back
Top Bottom