kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Ikibainika nchi A, imetuma watu wake nchi B kufanya vitendo kinyume na Sheria, Nini hutokea?

    Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi, Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika, Swali . Hatua zipi huchukuliwa...
  2. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  3. M

    Tanga: Azawadiwa 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria

    Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
  4. T

    Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

    Kwa mambo ninayoyafahamu kuhusu chaguzi na mifumo ya siasa za ccm sijui kama kuna namna inawezekana uwe kada wa hicho chama Kisha upinge rushwa kwa dhati kabisa na ubaki salama na usalama wako. Ukweli ni kwamba labda machawa pekee ndo wanaweza wasijue lakini wana ccm wote huwa wanaelewa kwamba...
  5. M

    Prof Kabudi nakukumbusha kinyume cha neno haramu ni halalai. Je, rais wetu ni halali?

    Ulipaswa kujiulizwq swali hili muhimu sana. Je, alipatakina kwa uhalali?👇
  6. Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

    Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi . 1. Saudi Arabia 2. Iran 3. Qatar 4. UAE 5. Afghanistan 6. Mauritania 7. Yemen 8. Brunei 9. Maldives 10. Pakistan 11. Somalia 12. Malysia
  7. T

    Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  8. Sheikh : Wake wa Muhamad,Hafsa et al walikuwa Makafir, na Omar Swahaba wake alikuwa Hanith na anaingiliwa kinyume na Maumbile

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya Sheikh Maulid. Naomba tuweze jifunza kitu kutoka kwa Wataalamu wa Dini
  9. Vitendo vya mapenzi kinyume na maumbile vimeongezeka kwa sababu pornograph imefanya tendo lilie lionekane ni rahisi, la kawaida na lenye msisimuko

    Porno na video za pilau ni ushetani mkubwa sana, Ewe mdada linda makebo yako.
  10. A

    KERO Malalamiko kuhusu ada za Carryover na Supplementary katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa masomo 2025/2026. Utaratibu huu umekuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi, hasa wale wenye hali duni...
  11. Kuna muda baadhi ya watu walidhani Nchimbi anatufanyia maigizo kwenda kinyume nao, kumbe jamaa alikua hatanii, salute kwake.

    Nisiandike mengi, niseme tu, salute kwako balozi, dkt Nchimbi Tungekua na wanaume watano tu kama wewe huko sisiem basi tungelikomboa taifa
  12. Najaribu kuwaza, hivi haiwezi kuwa kinyume na tunavyo dhania huu mkutano wa dharura?

    Huwenda ikawa tunae mdhania kutoka ndie kumbe ndio anaingia ! Hatuwezi jua maji yamezidi unga kiasi gani!
  13. Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  14. A

    DOKEZO Halmashauri ya Mkuranga watendaji wa vijiji wanatoza ushuru wa 10% ya mauzo kwa wanunuzi wa viwanja

    Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo. Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji. Kwa mfano mwananchi...
  15. October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ambazo ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, swali ni Je sisi Media tutimize wajibu wetu kikamilifu kwa kuwaripoti viongozi hao wasema hovyo bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya...
  16. LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  17. M

    Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  18. A

    KERO Mlangarini Sekondari (Arusha) mnazuia Vyeti vya Wanafunzi kwa Sheria au Kanuni ipi?

    Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo lililotokea baada ya watoto kumaliza masomo yao. Kinachonisikitisha ni kwamba, kuna wanafunzi 21 tu...
  19. R

    Julius Malema wa EFF atiwa hatiani kwa kukutwa na silaha/matumizi kinyume cha sheria akikabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela

    Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
  20. A

    DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…