Wanabodi,
Baada ya wengi kutoridhishwa na hukumu ya Tundu Lissu, licha ya kukutwa hana hatia ya uhaini, lakini bado akahukumiwa kifungo cha miaka 4 jela kwa kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imefanya huku kwenye mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu, wamekasirika hadi kuvuka mipaka ya kuikosea...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
Kuna watu wanaamini...
Hizi ID zinaficha mengi ila waislamu wametumiwa kama kinga ya CCM na hususani Tanganyika ila kama mtakataa kuna mapendekezo samia kubaki mpaka kufa kwake.
Maana yake kutoweza kushtakiwa wala kufungwa kama alivyo Museveni.
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu...
Binadamu wabaya sana, wamejawa husda.
Usiishi kwa kujiona salama na kujitangaza tangaza hovyo mafanikio yako.
Jambo lolote unalotaka kulianza anza kwanza na kinga bila hivyo hilo jambo litasua sua sana na huenda lisifanikiwe.
Kama unataka kuanza kujenga nyumba hakikisha unapoanza tu msingi...
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Just imagine unapata namba yake kwenye social, unamtext, halafu anaforce umpigie simu sasa hivi. Sasa unaanza kuwaza, “Tutaongea nini mbele ya watu?”
Unaanza kutafuta sehemu ya kujibanza ili mkutane na huyo escort sijui nini... eti anakutajia 50K! per bao 😭
Boss, 50K kwa kitendo cha dakika 1...
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria:
Ibara ya...
Waafrika ni nani aliyetuloga?
Hii katiba ilipitishwa na nani?
Hivi hivi vitu vinataka akili kubwa kufikiri kweli?
Kweli? Kweli? Kweli? Na kwanini?
Nikitafakari naona aibu.
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
Tatizo la kunuka sehemu za siri husababishwa na mabadiliko ya bakteria wa asili, maambukizi ya fangasi, magonjwa ya zinaa, au ukosefu wa usafi sahihi, na linaathiri jinsia zote mbili.
Ingawa umma unadhani ni tatizo la wanawake pekee, wanaume pia hupata changamoto hii kutokana na muundo wa miili...
Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo.
Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.