kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasri Homes Tz

    INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  2. stakehigh

    Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  3. DuaZaMama

    GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  4. radhiya

    Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  5. J

    PLOT FOR SALE KIMARA STOP OVER

    Vivanja 2 vinauzwa Kimara stop over. Ni Kilometa 4.5 Kutoka Kituo cha basi Stop Over, Upande wa Kulia kama unatoka Ubungo. Ukubwa wa viwanja Sqm 903-Mil 38 Sqm 1117-Mil 43 Vimepimwa ila hati bado. Bei kwa vyote:-81M Call 0713794962
  6. ndege JOHN

    Kero njia ya kimara korogwe

    Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga Morogoro road unaigusa saa tatu. Njia ndogo na kila mtu anataka kupanua apite hasa bajaji imagine foleni...
  7. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  8. radhiya

    Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  9. radhiya

  10. Rodwell mTZ

    Kimara hapapitiki

    Salaam. Natoa tahadhari kwa yeyote anaetokea Mbezi akitaka kwenda mjini kupitia Kimara,hapapitiki Kimara mda huu maaskari wamezuia magari yasiende mjini,nadhani kutakuwa na msafara wa kiongozi,mnaotaka kwenda mjini sasa hivi tafuteni njia zingine mbadala,Kinyerezi au Goba itakuwa ni muafaka kwenu.
  11. mirindimo

    KERO Naona tuko kwenye mgao mkali wa umeme Kimara kuanzia Stop Over

    Kila siku umeme unakata asubuhi unarejea saa mbili usiku hakuna taarifa hakuna lolote hii inaitwa "mtajijua" sijui kwanini tunateswa namna kwenye nchi yetu !!!
  12. radhiya

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  13. radhiya

    Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  14. nzalendo

    Nipo hapa Korogwe Kimara

    Nakunywa gahwa mixer na tangawizi najaribu kusogea uelekeo Ubungo...Leo mtaniona BBC au AL Jazeera...nimevaa kijikoti kimeandikwa PRESS
  15. radhiya

    Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  16. DogoWaNjombe

    KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  17. The Watchman

    Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

    Wakuu Foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Kimara hadi Ubungo kutokana na ujenzi unaendelea.
  18. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  19. Knock life

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  20. DogoWaNjombe

    RC Chalamila amtaka mkandarasi Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
Back
Top Bottom