kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  2. Blasio Kachuchu

    Ahsante Tours Successfully Coordinates ARiS and TIRA Expedition to the Summit of Mount Kilimanjaro

    By Our Correspondent, Kilimanjaro Ahsante Tours has successfully guided 22 climbers from ARiS Risk & Insurance Solutions Limited and the Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) to the summit of Mount Kilimanjaro, with all participants safely completing the expedition. The climb...
  3. Blasio Kachuchu

    Wapanda Mlima 22 wa ARiS na TIRA Wafika Kilele cha Kilimanjaro Kupitia Kili Insurance Summit 2026, wakiadhimisha Miaka 30 ya Mageuzi ya Soko la Bima

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
  4. Keynez

    Kwanini watu wa Moshi wanaitwa wa Kaskazini wakati Kilimanjaro ipo Mashariki?

    Katika muendelezo wangu wa kuleta mada za kuchallenge fikra za watu hasa katika maeneo ambayo naona kuna upotofu, leo nakuja na mada nyingine inayowahusu watu wanaoitwa wa Kaskazini, hasa wa Kilimanjaro na Arusha. Ukiangalia ramani ya Tanzania, Kilimanjaro ipo mashariki mwa Tanzania, zaidi ya...
  5. Blasio Kachuchu

    TIRA na ARiS Waanza Kupanda Mlima Kilimanjaro Kuadhimisha Miaka 30 ya Ubora katika Sekta ya Bima Tanzania

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kushirikiana na kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions wameanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 ya sekta ya bima tangu kufunguliwa kwa soko la bima kwa ushindani...
  6. MamaSamia2025

    Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  7. B

    Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro azindua kampeni ya "Ongea na kamanda

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Afande SACP Simon Maigwa, Tar 20/10/2026 amezindua rasmi Kampeni ya "ONGEA NA KAMANDA". Kampeni hii inalenga kuwapa fursa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwasiliana moja kwa moja na Kamanda. Kupitia kampeni hii, wananchi watapata nafasi ya kueleza...
  8. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  9. Mkalukungone Mwamba

    SACP Maigwa: Polisi Kilimanjaro Haina Haja ya Kufanya Operesheni na Mgambo

    Kamanda mkuu wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kua jeshi la polisi halina upungufu wa kuhitaji kufanya oparation na Jeshi la Akiba (Mgambo) Ameyasema hayo wakati Kampeni ya Ongea na Kamanda katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 20,2026
  10. A

    KERO Wajawazito wanne tumelazwa kitanda kimoja Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro. Tunaomba vitanda viongezwe

    Naandika ujumbe huu nikiwa mmoja wa waathirika wa hii changamoto, hapa Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro nimepewa kitanda nikiwa naendelea kusubiri muda ufike ili nijifungue, lakini cha ajabu kitanda nilichopewa kila siku wanazidi kuongezeka watu. Namaanisha wajawazito wengine wanaongezeka...
  11. Sifi Leo

    Hii ni aibu, karibu na rafiki supamaketi, Kilimanjaro opposite na sharonaro, vichaa wanalalana realy?ni aibu kwa wachanga.

    Siamini macho yangu, nilivyowazoea wachanga, realy saa hizi? Nimeingia supermarket ya rafiki nikanunua bidhaa zangu baada ya hapo, nikasema ngojea unywe hata bia moja kuna kiduka cha nguo za mtumba upande uo up, heeeee sijafikia kwenye hiyo bar, Walah vichaa wamekataa na kuna lako hasa wakike...
  12. Yoda

    Mji mkuu wa Tanzania ilipaswa kuwa Arusha, Mbeya, Kilimanjaro au Mwanza

    Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Ndege yatua kwa dharura Kilimanjaro International Airport baada ya kugongana na Pundamilia

    Ndege iliyotajwa kuwa Embraer 125, yenye usajili 5H-HLL, imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) leo, Oktoba 4, 2026, baada ya kuripotiwa kupata hitilafu kwenye mfumo wa magurudumu ya kutua. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imethibitisha kutokea...
  14. Mshana Jr

    Breaking news: ndege yatua na tumbo Kilimanjaro airport

    Tunafuatilia taarifa kutoka kwenye mamlaka husika kuhusu ajali ya ndege aina ya Embraer 120 iliyotua kwa tumbo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro jioni ya leo. Kwa sasa hatuna taarifa nyingine .
  15. Traxtion

    Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

    Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa. Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view inakuwa very magnificent Milima mingine ambayo nimeiappreciate kimuonekano ni Mlima Meru na Mlima...
  16. figganigga

    Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, lakini Samia yupo zake Kizimkazi anaongelea

    Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe. Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea. Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho. Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho...
  17. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  18. peno hasegawa

    Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  19. Wizara ya Ardhi

    Kilimanjaro waanza kutumia mfumo wa e-Ardhi

    Mkoa wa Kilimanjaro umeanza rasmi utekelezaji wa mfumo mpya wa e-Ardhi baada ya watumishi wa halmashauri saba kupata mafunzo ya siku nane, ikiwa ni miongoni mwa mikoa 11 iliyopewa kipaumbele katika robo ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2026/2027. Akizungumzia hatua hiyo, Kamishna wa Ardhi Msaidizi...
  20. Etwege

    Migogoro mingi ya ardhi inahusisha watu wa mkoa wa Kilimanjaro

    Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro. Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana. Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha
Back
Top Bottom