kikwete

  1. Jaji Mfawidhi

    Jiunge nami kusema hapana kwa udhalilishaji na ubaguzi anaoufanya mmliki wa clock tower café Iringa

    JIUNGE NAMI KUSEMA HAPANA KWA UDHALILISHAJI NA UBAGUZI ANAOUFANYA MMLIKI WA CLOCK TOWER CAFÉ IRINGA. #SAYNOTOCLOCKTOWERCAFEIRINGAMISTREATMENTOFCLIENTS# Nimekuwa mteja wa mgahawa wa Clock Tower Café uliopo barabara ya Dodoma/Uhuru Avenue katika Manispaa ya Iringa tangu uanzishwe mwaka jana...
  2. Chipsi yaipembeni

    Rais Kikwete kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Jakaya Kikwete, Alhamis Wiki Hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani. Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika Mashariki na Kati, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani bilioni 10. Kwa mujibu wa taarifa...
  3. I

    GE2015 Magufuli: Safari za Kikwete nje ya nchi zina manufaa makubwa

    Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM, Dk. John Magufuli, amewashangaa watu wanaokejeli safari za nje za Rais Jakaya Kikwete, akisema manufaa ya ziara hizo ni makubwa kuliko wanavyofikiri. Amesema kupitia safari hizo, Rais Kikwete amefanikiwa kuwashawishi wafadhili kutoa misaada...
  4. BAK

    Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond

    Date::8/30/2008 Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond Na Joyce Mmasi Mwananchi HATIMAYE ile taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu zabuni ya umeme wa dharura iliyotolewa kwa kampuni tata ya Richmond Development Limited imetolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Kila mtu...
Back
Top Bottom