Pamoja na mapungufu yake Kikwete alijua kuishi na upinzani aliimudu nchi, mfano bunge lilikuwa almost 40/60, katiba mpya, barabara.
Kikwete alikula huku akipuliza kwa amani na kicheko, sijui kwa nini anampotosha mwenzake anayetaka kula huku ameshikilia upanga mkononi.
Samia ajifunze kwa Ruto...