Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon.
Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔
Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅
Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki...
Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe.
Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania
Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike.
Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi.
Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari,
Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru.
Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
Tangu nimeanza kumsikia Godfrey Tumaini na kelele zake za ushoga hapa nchini sijawahi kumsikia akitaja au akipambana na shoga yeyote mwanamke.
Sijui ni kwa bahati mbaya au kwa sababu anajua mashoga wa kike hawawezi kumpa kiki mjini au hakuna mashoga kike Tanzania?
Kama amesahau ni vyema...
Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani.
Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje.
Tuishi na watoto kwa upendo.
Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa.
Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni.
Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu.
Kwa...
nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika.
Na shape kaichonga imeikala bien 😝
Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla.
Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
Huyu waziri malaya malaya ameanza kuita wasanii wa kike kila mtu anajua ni mtu wa kupenda kutishia ili kutoa nyegezi zake. Wasanii msikubali huu ujinga kisheria kama una kosa Polisi ndiyo wanatakiwa wakuite sio huyu waziri.
Tunge nyamaza lakini sio lazima tuangalie wanawake kwenye jamii zetu...
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.
Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa...
GAZA: Vyanzo vya kimatibabu vinaripoti kwamba idadi ya vifo kutokana na shambulio la hivi karibuni la IDF katika Jiji la Gaza imeongezeka hadi 9, huku idadi hiyo ikiwa bado haijakamilika, huku watu 15 wakijeruhiwa. Miongoni mwa waliouawa ni Faten Sakhr, kamanda wa polisi wa wanawake wa Hamas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.