kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Maisha ya kijijini ni rahisi kuliko ya mjini ?

    Kwa nini kuna watu wengi hufikiri maisha ya kijijini ni rahisi zaidi kuliko ya mijini ?
  2. F

    Kuna busara gani kujenga jumba la kufa mtu kijijini halafu ukapanga mjini?

    Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu? Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
  3. Manyanza

    Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto. Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
  4. Boss la DP World

    Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

    Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole. Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana. Ingawa binafsi nimepokea...
  5. MamaSamia2025

    Ninampongeza sana Mbowe kuamua kutumia muda wake mwingi kijijini Machame na kujiweka mbali na siasa

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
  6. Manyanza

    Sadio Mane awekeza kwenye kiwanda cha embe (Mango plant) kijijini kwake Bambali

    Sadio Mané: Ameendelea kujenga maisha ya watu Bambali Alizaliwa katika kijiji kidogo cha Bambali, Senegal, akaanza safari yake ya soka kwenye mazingira ya kawaida kabisa. Amewahi kuichezea Southampton, Liverpool, Bayern Munich na sasa Al-Nassr, akishinda UEFA Champions League, AFCON na kuwa...
  7. bless on

    Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  8. Kinoamiguu

    Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  9. k-bee

    Kijana wa Kitanzania (bara) usiende mjini; kijijini kunatosha

    Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe...
  10. Equation x

    Maisha mema yanapatikana kijijini

    Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara Napata maji safi, Hewa safi, Kelele nzuri za ndege, Hakuna msongo wa mawazo, Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka, Napata vitu vingi bustanini, Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye...
  11. A

    KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  12. secretarybird

    Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  13. A

    KERO Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati - Arusha na maeneo ya Njiro barabara ni mbaya kama tupo kijijini

    Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini. Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
  14. Sprouts pre School

    Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

    Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
  15. Equation x

    Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  16. Burn the bridge _Tz

    Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

    Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao? Au nihame nikatafute mbali?
  17. N

    Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

    Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu. Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya...
  18. U

    Kuna baa moja huku kijijini Nyamongo Tarime imeandikwa Kila bosi anaye bosi wake

    Wadau naomba maoni yenu niko mitaa ya Nyamongi muda huu naona hiyo baa ikiwa na hilo jina watu wako ndani wanakula bata
  19. A

    KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  20. nzalendo

    Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
Back
Top Bottom