kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  2. M

    Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  3. J

    Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  4. Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

    Mimi pia ni kataa ndoa na wengi humu wanajua hili ila ukweli nitausema. Ishu ya kataa ndoa ilianzia mitandaoni ila ishafika mitaani na vijana wameanza kuhubiriana na ninaiona hatar kubwa.Huu ukiwa utamaduni maisha ya wanaume wengi yataharibika na single maza wataongezeka sbb kataa ndoa...
  5. M

    Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  6. Kijana usikubali kuwa kwenye mapenzi na binti mpumbavu

    Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake. Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula. Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili. Elfu 2 anaomba...
  7. N

    Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

    Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali. Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani. Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya...
  8. Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
  9. CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu...
  10. A

    Kijana Pele alistaafu kucheza kombe la dunia na umri wa miaka 29 kupinga Udikteta wa Generali Medichi

    Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa. Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira. Baadae akaeleza akasema...
  11. Vita ya kwanza ya kijana si biashara, ni chakula

    kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni ushamba nanunuaje mavyakula wilayani wakati mkoani masoko yapo na kibunda nitakuwa nacho.. nadharau...
  12. Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  13. Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    “Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?” Huyu ni kijana anaomba...
  14. Bi. Haika Yuko sahihi. Kuna wanaume ni Gold-diggers. Tabia mojawapo ya u-gold digger ni kijana kupenda mishangazi(wanawake wakubwa kiumri)

    Hamjambo! Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana mwenye kazi ya kueleweka, mwenye biashara nzuri, akili ya kiume umkute anakimbizana na mishangazi. Ni...
  15. Kijana , anatafuka kazi ya jikoni yupo na uzoefu .

    Kijana anatafuta kazi ya jikoni yupo na uzoefu wa kutosha. Umri 23 Eneo aliliopo Kibaha Mawasiliano : 0664540696 N.b , anaweza pia kufanya kazi tofauti na ya jikoni , waweza kuwasiliana nae kwa maelezo zaidi. 🙏
  16. Anaandika kijana wa Buza kwa Mama Kibonge, Benjamin Fernandes!

    Je umepoteza tsh ngapi kimya kimya? Share hii na Rafiki zako!
  17. Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

    Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya...
  18. Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  19. Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  20. Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…