kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

    Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
  2. Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu

    Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena.... Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na mapolisi ya kidini. Iran has stopped channeling funds to a number of Palestinian factions, the Palestinian...
  3. Wanajeshi wa SADC waua wapiganaji wa kiislamu 30

    Mpambano mkali baina ya wanajeshi wa SADC na wapiganaji wa kiislamu ambao humpigania 'mungu' wao umeshuhudiwa Msumbiji na hatimaye wapiganaji 30 wakawahishwa kule peponi..... The mission sent by the Southern African Development Community (SADC) to northern Mozambique to combat terrorism in...
  4. Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  5. Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  6. Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  7. Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

    Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa: 1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo. 2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti. 3. Maiti afunikwe na shuka kubwa...
  8. Wapiganaji wa Al-Qaeda walivyolipua msafara wa chakula nchini Burkina

    Duh sikujua jamaa wapo hadi nchi maskini kama Burkina, walivamia na kuua madereva na wafanya kazi wa msafara wa chakula uliokua unasafiri kwenda kusaidia vijiji vyenye njaa... The ambush, claimed by Al-Qaeda, officially killed 37 people, including 27 soldiers. But 70 truck drivers remain...
  9. Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

    Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani. Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The blast killed at least nine people, including senior government officials. Heightened security...
  10. Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  11. Mpiganaji wa dini ya kiislamu ajilipua bomu na kuua 15

    Cha ajabu, wote dini moja Somalia...kutwa kulipukiana kwa mabomu kisa wanampigania "mungu" wao. At least 15 people were killed Sunday in an attack by the jihadist group Al Shabaab in Somalia's capital Mogadishu on a Somali Army military training facility, officials said. The balance of the...
  12. Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York. Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
  13. M

    Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  14. Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

  15. Vijana wa kiislamu walika mkong'oto baada ya kuandamana huko India

    Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu. Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
  16. Muandamanaji wa Kiislamu akamatwa kwa kukojolea Msikiti wa Al Aqsa

    My take:I didn't see Al Jazeera, CNN or BBC reporting about the Palestinian urinating on Al Aqsa. Weird. ==== Israeli police arrested on Wednesday a Muslim on suspicion of rioting, violating the public order, throwing rocks at police forces, and releaving himself on the roof of the Al Aqsa...
  17. L

    Maisha yangu ya Kiislamu ninayoishi nchini China

    Pili Mwinyi Waislamu kote duniani bado wanaendelea kutekeleza nguzo ya nne ya Usilamu yaani kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hivyo leo tena napenda kuendelea kuzungumzia nguzo hii, na vilevile kuwafahamisha watu waliopo nje ya China, jinsi mimi na waislamu wenzangu wa hapa China tunavyoishi...
  18. Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  19. Msaada : Mrisho ni jina la Kiislamu, Kiyahudi, Kikristu au kikabila?

    Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake. Hivi hili jina lina asili ya wapi? Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk. Au ndio jina la...
  20. Magaidi waua raia 40 nchini Mali

    Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa. An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday. "There...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…