Hivi kumshikilia jela miaka 50 mtu unaemdai shilingi milioni moja tu, ilihali huyo mtu ukimwachia huru uraiani anapotential ya kuingiza hiyo pesa kwa wiki 1 tu na akakulipa yote, ni matumizi ya akili za kichwani au za kwenye makalio?
Huko serikalini kuna watu wana ubongo kweli?!
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole.
•It's on main street, 150m away from beach, opposite Islamic Club.
•The plot has fairly used house.
Size: SQM 580.
Price: Tsh 200 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small...
Plot For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary/Ibn Rushdy school.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911.
Price: Tsh 250 Million.
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
Wakazi wa Cheka, Manispaa ya Kigamboni, tunatumia Daraja la Amani Gomvu ambalo limekuwa na changamoto kubwa kutokana na ubovu wake. Ukarabati wa daraja na barabara hiyo ulianza mwaka jana, kipindi ambacho uchaguzi ulikuwa ukikaribia, lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika na mkandarasi...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road.
Descriptions:
*12km from main road (Kibada rd), 2km inside from new Mwasonga road.
*It's near to box factory and Dar es Salaam zoo.
*It's 9.6 acre's which is equal to 39,507.11SQM.
*It's residential but can be converted to...
Habari wanajukwaa. Nina kiwanja cha kwangu mwenyewe (kina hati tayari). Kiwanja kipo Tundwi Songani mbele ya Mwasonga mbele kidogo ya chuo cha kilimo cha Wajapani. Kiwanja kina ukubwa wa square meters 1,076. Bei ni 25Mil. Kwa maulizo na mawasiliano piga 0715251100.
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kimbiji, Bohari road, Majipoa area.
Descriptions:
*41km from Kigamboni Ferry, 3km inside from Kimbiji road.
*It's 18.3 acre's which is equal to 74,063.54 SQM (Ammended survey plan shows 74,322 SQM).
*Suitable for Light industry.
*All social services...
Wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa Sea Taxi tumekuwa tukikumbana na changamoto ya salio kupotea kwenye kadi zetu. Mara nyingi unaweka, kwa mfano, shilingi 1,000 asubuhi ukitarajia zitakutosha kwa safari ya kwenda na kurudi, lakini unapofika jioni mashine inaonesha huna salio.
Tatizo hili...
🏢 GHOROFA INAUZWA | MODERN HOUSE FOR SALE
📍Kibada, Dar es Salaam (Karibu na Barabara Kuu ya CRDB)
✅Nyumba ya 8 kutoka lami)
✅Hii ni nyumba ya kisasa na imara sana, ikiwa imejengwa kwenye msingi imara unaoruhusu kupandisha hadi Ghorofa 5 (Msingi wa Ghorofa 5).
📐 SIFA ZA NDANI (HOUSE DETAILS)...
Kibada, Dar es Salaam (Karibu na Barabara Kuu ya CRDB)
Nyumba ya 8 kutoka lami)
Hii ni nyumba ya kisasa na imara sana, ikiwa imejengwa kwenye msingi imara unaoruhusu kupandisha hadi Ghorofa 5 (Msingi wa Ghorofa 5).
SIFA ZA NDANI (HOUSE DETAILS)
Jumla ya vyumba ni 5 (ambapo 3 ni Master...
Hello wanajukwaa,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
Anonymous
Thread
afya
jamiiforums
kigamboni
kituo
kituo cha afya
mrejesho
taarifa
tarehe
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari polisi katika eneo la Daraja la Nyerere, Kigamboni, Dar es Salaam.
Ndugu yangu alikuwa akielekea Kigamboni kwa bajaji kwa ajili ya kutazama mazingira na alikuwa akijirekodi video akiwa njiani. Alipofika eneo la Daraja la Nyerere...
Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo tunaamini yamekuwa magumu kwa muda mrefu.
Changamoto...
Anonymous
Thread
hospitali
kazi
kigamboni
kuboresha
kuboresha mazingira
mazingira
mtumishi
serikali
Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale;
Location: Kigamboni.
•Kimbiji: 41km from ferry, 3km inside from Kimbiji rd, 18.3 acres, TZS 1.8B, Title Deed.
•Kisarawe 2: 12km from Kibada, 2km inside from new mwasonga rd, SQM...
Tajiri wahi kiwanja hiki utanishukuru badae..Nimepata shida tu
ukubwa 20 kwa 20 kikubwa kizuri sana
bei milion 10
nicheki 0756038510
Kimepimwa ila hakina HATI bado
Napenda kuwashirikisha changamoto niliyokumbana nayo wakati wa kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme katika ofisi za TANESCO Mikwambe, Kigamboni.
Kwa kifupi, ofisi hiyo ni mpya na ina mazingira mazuri, lakini huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja inaonekana kucheleweshwa kwa muda mrefu...
Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence' Girls' Islamic Seminary, kuwa wameweka Mkuu wa Shule anayetuhumiwa kwa vitendo vya...
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
Anonymous
Thread
dar
historia
kigambonikigamboni dar
maadili
mkuu
mwalimu
mwalimu mkuu
shule
wazazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.