kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Sudan imewahukumu Maafisa Usalama kifo kwa kumtesa na kumuua mwalimu

    Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani. hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa mara baada ya machafuko ya kuleta utawala wa demokrasia nchini Sudan. Hakimu anasema kuwa hukumu hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo cha mwanamama (Marie Fredriksson) wa Roxette

    Jana nimejiskia vibaya mbaya kabisa huyu mama kaenda jamani 😴😴 Songi lake la "It must have been in love, nikimkumbuka roho Yauma eti RIP mamilooo
  3. JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

    Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya kwanza tu. Kweli kwenye mapambano muhimu kama haya yanayotazamwa duniani kote tunapeleka mabondia wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi za ‘mfiwa‘ akiwa msibani nyumbani kwake ‘tukihisi' labda amehusika na ‘kifo‘ cha marehemu tutakosea?

    Ni Mama Mzazi ambaye 'amefiwa' na Mwanae (Bintinye) ndiyo ameonyesha hizi tabia Kuu Saba (7) tajwa hapa chini. 1. Muda mwingi anaagiza apigwe picha 2. Muda mwingi anachati na simu yake 3. Muda mwingi sura ya huzuni inaadimika nyagoni/usoni mwake 4. Muda mwingi machozi unayatafuta kwa tochi...
  5. JamiiForums Tanzania EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

    Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi 'F' likitajwa kama "Kundi la Kifo" litakaloyakutanisha mataifa matatu 'vigogo' wa soka barani Ulaya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Al Bashir akabiliwa na hukumu ya kifo kwa kupindisha taratibu za kidemokrasia

    Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela. Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

    Lindi. Abiria wawili waliokuwa wakisafiri na basi la Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kwenda Mtwara nchini Tanzania wamenusurika kifo baada kula biskuti zinazodaiwa kuwa na dawa za kulevya wakiwa ndani ya basi hilo. Abiria hao ni Dadi Rashid (49) ambaye ni ofisa elimu taaluma Utete wilaya ya...
  8. JamiiForums Tanzania Huzuni ya Kufiwa Huja Kama Mawimbi

    Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa macho, na mara nyingi huwaweka wahuzunikao kwenye hatari ya kupata sononi na madhara mengine ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rejea kifo cha wazazi wa Anna: Maisha hayana maana kama hakuna kifo

    Salute: Siku ya jana ilikua majonzi kwa binti Anna Zambi na watanzania wote wenye mioyo ya huruma na utu, kwake Anna ilikua ndio siku mbaya zaidi kuliko zote alizowahi ishi hapa duniani. Wapo walionguna nae kwa kilio, wapo walioungana kwa maombi na kumtakia heri katika safari yake mpya hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia. Rais George W. Bush akilianzisha Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kweli baada ya kifo cha baba (mume) kwa asilimia kubwa sana mke, watoto na wazazi wanaingia kwenye mgogoro mkubwa sana

    Suala la mirathi na urithi kwa ujumla linaleta chuki sehemu ambapo upendo ulitawala kwa sababu hakuna utaratibu ambao upo wazi wa kufuata juu ya suala la mirathi. Ni maoni yangu serikali iliwekee sheria na kanuni namna ya kuwawezesha wafiwa kuendelea na maisha mema hata baada ya mpendwa wao...
  12. JamiiForums Tanzania INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

    Wanabodi, Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019? R.I.P mpendwa wetu JKN. Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa. Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
  14. JamiiForums Tanzania Familia yataja sababu za kifo cha Hakimu Juma

    Dada wa aliyekuwa Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juma Hassan Kasailo ametaja sababu ya kifo chake. Hassan alifariki ghafla siku ya Ijumaa, ambapo kifo chake kilithibitiswa na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Ilvin Mugeta. Kabla ya kuthibitishwa, taarifa za kifo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…