kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
  2. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha Sheikh Abdallah Rashid Sembe May 1999

    TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999 Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa linaikabili TANU katika Uchaguzi wa Kura Tatu. Kisa chote kile cha dua hii ya Mnyanjani kuanzia Mwalimu...
  4. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa kifo cha Katibu wa Kanisa wafikishwa Mahakamani, ni Katekista na mwenzake

    Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi wakana tuhuma za kuhusika kifo cha Jacob Elias

    Wakati mwili wa Jacob Elias (44) mkazi wa Milanzi Manispaa ya Tabora anayedaiwa kufariki dunia kutokana na kipigo alichokipata akiwa mahabusu ukizikwa jana Februari 16, 2022, Jeshi la Polisi limekana kuhusika na kifo hicho. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amekana kuhusika kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  7. JamiiForums Tanzania Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
  8. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kumsababishia kifo mtoto wake

    Polisi mkoa Njombe wanamshikilia Israel Msigwa Almaarufu kama "Mtoa Roho"(39)makazi wa Makambako kwa kumsababishia kifo mtoto Haskad Msigwa (7) kwa kumuadhidu kwa nyaya za umeme na fimbo kwa sababu amekojoa kitandani. RPC wa Njombe Hamis Issah amesema "Huyu amemuadhibu mtoto wake kwa kumuadhibu...
  9. JamiiForums Tanzania Pale mtu wa karibu anapofariki tunaumia, kwanini pia tusifurahi endapo maisha ya marehemu yalikuwa na mateso makali sana na kifo kikaweka tamati?

    Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo. Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha raia wa Congo chazua taharuki Brazil

    Polisi nchini Brazil wamewakamata wanaume watatu kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mhamiaji wa Congo mjini Rio de Janeiro. Mauaji hayo yaliyonaswa kwenye video yamesababisha ghadhabu ya umma. Jamaa wanasema Moise Kabagambe alishambuliwa baada ya kumtaka bosi wake alipe mshahara anaodaiwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwepo kwa adhabu ya kifo

    Kumekua na matukio mengi sana kwa watu kuuliwa maeneo mbali mbali nchini kuanzia mwishoni mwa mwaka 2021 hadi leo hii kila siku yanaibuka mauaji sababu zikiwa wivu wa mapenzi,dhuluma,tamaa ya mali na hasira. Binafsi naona kwa hali ilivyo sasa uhai wa binadamu umekua kitu cha kuchezea kama...
  12. JamiiForums Tanzania Rais asikitishwa na kifo cha mke wa RC Shigella, kuhusu vijana waliopotea hasikitishwi?

    Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  14. JamiiForums Tanzania Tukio la kifo cha Sheikh Abeid Karume hatua kwa hatua

    Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972 Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi, Sawa na idadi ya miaka minane ya utawala wake tangu 1964 hadi kifo chake. TUKIO LENYEWE LILIKUA HIVI;- Rais Karume...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

  18. JamiiForums Tanzania Tunaishi duniani ili tufe

    Yaani kama una uhai leo jua utakuja kufa tu. Kwahiyo punguza kuchakarika, kujivimbisha, kutukana watu. Utakufa na hutokuwepo tena duniani. Kiburi na majivuno yako yote hayatakua na maana na wala havitakuwepo duniani tena. Umezaliwa ili uje ufe na hili haliepukiki.
  19. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  20. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete. Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…