kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo maafisa 4 wa MOSSAD

    Wanakumbi. 🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali. Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Qatar yabadili adhabu ya kifo ya Maafisa wa zamani wa Jeshi la India waliotuhmiwa kwa kufanya ujasusi

    Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi. Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema adhabu imepunguzwa lakini haijfafanua imepunguzwa...
  3. Nifah

    JamiiForums Tanzania Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika Ukatoliki, alifikia uamuzi huo baada ya kukumbwa na maswahibu yaliyotishia uhai wake. Mjane huyo wa...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania R.I.P Joseph Pande, Naibu Mwendesha Mashtaka(DPP), ni kifo cha kawaida?

    Ni swali tu, je ni kifo cha kawaida? Hawa watu kwa kazi zao wanashughulika na majitu ya hovyo, yakiwemo magaidi, tupate jibu
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  8. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Umma ni kama lango la kifo

    1. Ukifika hospital za Umma ni kama upo langoni kuelekea kifo. 2. Huduma mbovu, pengine mpaka utoe Chochote nimefika Mwananyamala mabango ya kukataza rushwa na makamera kila kona utadhani maonyesho Ila huduma hupati bila kutoa pesa ya chai au ujiandae kushinda hapo hospitalin toka asubuhi mpaka...
  11. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya Kifo

    Kwa sababu zao dini za magharibi hazielezei mengi juu ya kifo, lakini baada ya yote, kifo ni jambo kubwa sana kwa sisi sote tu kama pia kuzaliwa, na inaonekana kwamba kifo kinapaswa kufuata sura juu ya mediums kwa sababu ikiwa hakuna mtu aliyekufa, mediums wasingweza kujaribu kuwasiliana nao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

    MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32). Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Nabeel chahusishwa na ushirikina, kafara imetimia!!!, Watanzania tuna mawazo ya ovyo sana

    Aisee sisi Watanzania tuna mawazo ya ajabu sana. Naona watu wengi wanahusisha kifo Cha Nabeel na imani za kishirikina. Pointi yao ya msingi ni dhaifu sana ,eti kisa ile ajali ilikuwa mbaya sana na Chino katoka poa kabisa kana kwamba hakijatokea kitu. Yani wao walikuwa wanataka eti na Chino...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

    Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali. Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua. Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM. Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
Back
Top Bottom