kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  2. JamiiForums Tanzania Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora...
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kulala chini ya Saa 6 kunaweza kuongeza hatari ya kupata Saratani na Kifo

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla. Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Utata mkubwa kifo cha Dkt. Mkamilo wa TARI

    Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024 Kifo cha Dk. Mkamilo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TARI kimeacha simanzi na huzuni kubwa kwa wanataaluma...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

    Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara. Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu. Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo. Waandishi wote either...
  6. JamiiForums Tanzania Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vifo hasa vya viongozi wakuu ni ukumbusho kwa sisi tuliobaki

    Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia. 1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo...
  8. JamiiForums Tanzania Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  9. JamiiForums Tanzania Sura ya dada iliyomfufua mtu kutoka kwenye kifo

    Dunia ina maajabu na hayajawahi kuisha maajabu hayo...kila unaposikia moja la kuajabisha jua kuna mambo elfu moja ya kuajabisha zaidi ya hilo lakini hujalijua.. Essie Dunbar.. mwanamke aliyekuwa na miaka 30 mwaka 1915 alikuwa anaugua ugonjwa kifafa (epilepsy attack). Siku moja akadondoka...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  14. W

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya

    Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  17. JamiiForums Tanzania Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

    Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini; Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya; Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja; Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Si kila mwana CCM ni wa kulilia akifa wanatutesa sana wakiwa hai

    Great Thinkers. Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana. Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu. Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
  19. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  20. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…