kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  2. JamiiForums Tanzania CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  3. JamiiForums Tanzania Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  4. JamiiForums Tanzania Sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Sokoine ilikuwa ya kiserikali au familia?

    Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali? Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
  5. JamiiForums Tanzania Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni miaka 40 ya kumbukizi ya kifo cha Sokoine au ni kumbukizi ya miaka 40 ya usaliti na kujipendekeza?

    Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine? Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu Nyerere? Kwanini kuanzia viongozi wa dini hadi wanasiasa wanamtisha Mhe. Rais kwa kuonyesha anao...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Sokoine

    Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara. Mali hii aliitumia bila choyo wala khiyana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  9. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  11. JamiiForums Tanzania ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  12. JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  14. JamiiForums Tanzania Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada. Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
  15. JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  17. JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkulima

    KIFO CHA MKULIMA 1. Hadithi nawaletea, sikiliza kwa makini, Zamani kulitokea, porini kundi la nyani, Mitini walirukia, mara juu mara chini, Nyani walifurahia, kwa kifo cha mkulima. 2. Waliposikia njaa, lienda huko shambani, Mahindi wakachukua, kurudi nayo porini, Wakanywa na maji pia, kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  20. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…