kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Polisi mkamateni Bony Mwaitege kwa kujizushia kifo ili atrend

    Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent. Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend. Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kifo kiko karibu zaidi ya miaka iliyopita. Epuka dhambi ya uzinzi, ufiraji, dhuluma na uuaji ili usife mapema

    Hello! Mauti iko mlangoni inasubiri mtu atoke imbebe. Jitahidi kuomba rehema kwa Mungu mara kwa mara. Epuka dhambi ya ufiraji , epuka uzinzi, epuka dhuluma, epuka ushirikina, epuka kumwaga damu (kuua) ili siku zako ziwe kamili Dhambi ziko nyingi ila hizo dhambi nilizozitaja hapo juu hufungua...
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Trump Jana amenusurika kifo, leo kesi yake imetupiliwa mbali!!

    Mh, mwamba anapambana sana! Hata akishindwa tunalo la kujifunza nalo ni kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile! US judge in Florida dismisses classified documents case against Trump A judge in Florida has dismissed the criminal case relating to classified documents that were found at Donald...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  6. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Tukiona wagonjwa na maiti kwenye majeneza pia tuseme 'one day yes'

    TUKIONA WAGONJWA NA MAITI KWENYE MAJENEZA PIA TUSEME 'ONE DAY YES.' Tukiona magari mazuri na majumba ya kifahari ya watu tunasema "ONE DAY YES." Tena tukiamini kwamba ipo siku nasi tutafanikiwa kumiliki mali kama ambazo wanamiliki wengine. Tukiona wagonjwa na maiti kwenye majeneza basi pia...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna siku sitakuwepo juu ya uso wa dunia?

    Wakuu hivi ni kweli itafika siku nitang'ata pamba na kuhifadhiwa futi 6 uko chini ya ardhi? Hivi ni kweli kuna siku nitatoweka jumlajumla na sitaonekana popote pale juu ya huu uso mzuri wa dunia? Wakuu mbona naona kama ni masihara. Ni kama ndoto yani. Yani kuna siku uwepo wa kaburi ndo...
  8. Undava King

    JamiiForums Tanzania Ijue dhana ya uhai na kifo kama mizania ya fumbo la imani

    Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO. Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
  9. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hivi, ukipewa bahasha yenye details za kifo chako utafungua?

    Eti Wadau, Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣 My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yangu😭 Zile report...
  14. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Andrew na utata wa Wanawake waliopotea kimiujiza

    - Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria. Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuivaa kesi hii matata kwakuwa ubalozi wa Ghana, familia ya wahanga pamoja na...
  15. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

    Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  18. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  19. babajeska

    JamiiForums Tanzania PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kijana kwenye ujana

    Ugumu wa maisha unasababishwa na baadhi ya vijana ambao wameamua kuwa ronyaronya. Vijana wanakuwa machawa. Hawana uwezo wa kufikiri kufanya masuala ya msingi. Vijana aliyosema Mwl Nyerere wako wapi sasa hivi? Hili ni janga kubwa la taifa. Tutakosa watu wa kufanya maamuzi ndani ya nchi yetu.
Back
Top Bottom