kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukichelewa kidogo mnakufa wote

    Roadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  3. JamiiForums Tanzania Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

    Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe My...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Rais Yoweri Museveni apuuzia kuhusu nchi yake kuondolewa kwenye mpango wa AGOA

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali wasiwasi wake kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA. Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden alisema Uganda na nchi nyingine tatu za Kiafrika zitaondolewa kwenye mkataba wa (Agoa), akitoa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mo kabla ya kutoa bil 20 kajifunze kidogo Kwa GSM

    Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa. Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji. Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
  9. JamiiForums Tanzania Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
  10. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize. Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB. Siku zimeenda mambo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  12. JamiiForums Tanzania RC Chalamila hajawahi kuwa na adabu hata kidogo, Kinachomwokoa kwa sasa ni kuwa yupo Upande wa Pili

    Samia alimwambia Chalamila akue. Ila badala ya kukua amekuwa chawa wa mama. Maneno na matendo yake kama isingekuwa kumsilfia sifia mama. Saivi tungekuwa tunaongea mengine. Kiufupi huyu jamaa ana mdomo mchafu sana by nature ila inategemea anaongelea kuelekezea upande upi.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini hayatakiwi kukatiwa umeme sababu ya umuhimu wao kiuchumi. Kariakoo siyo moja wapo

    Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao. Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
  14. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Choo cha Shima kinachohitaji maji kidogo tu

    Hiji ni choo cha shimo, nje unachimba shimo na unaweka bomba la kusafirishia uchafu. Uchafu unausukuma kwa ndoo ya maji. Ni rahisi kusafisha na uchafu unaoukusanya unaweza kuutupa shambani baada ya muda. Unaweza kuweka utararatibu wa kutapisha shimo kila baada ya miezi mitatu na kumwaga...
  16. JamiiForums Tanzania Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

    Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda? Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuongee science kidogo: Why is the principle of simple common sense not accepted in mathematics?

    Tupumzishe siasa kidogo kwa ku refresh mind with intellect thinking. Angali common sense kwanini haikubaliki always kwenye maths and other fields of science. Common sense itakwambia kuwa kila inapoongezeka dot moja, maumbo yanakuwa mara dufu! Lakini inapotokea dot sita, common sense inakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  19. JamiiForums Tanzania Naumia sana kuona vipaji vikubwa vinafia Simba kwa kusugua benchi tofauti na watani, sio sawa hata kidogo!

    John Bocco kwanini apate nafasi , halafu kina Chilunda wakose nafasi ? Kwaninii kina Onana wapate nafasi halafu kina Mohammed Mussa wakose ? Mbona Yanga anatoka Aziz Ki anaingia Zawadi Mauya ? Hiki ndicho kinasababisha hata wachezaji kupigana misumari , hiki ndiyo kinasababisha wachezaji kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…