Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.
‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila...
Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania?
Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au
Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika?
Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi?
Ukichagua cha...
Sema huenda ni kweli an empty mind is a devil workshop 🤣🤣🤣😇.. Sasa juzi kati nikawa napitia pitia ki bible kidogo kile cha agano jipya ,nikawa nakisoma kisa cha yohana mbatizaji (math14:1-12 na marko6:14-29).
Kisa kizima kama nilivyokisoma ni kwamba wanawake (Binti Herode na mama yake yaani...
Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria
1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani.
2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
Hamjambo!
Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry.
Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu.
Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia.
Aiseeh
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa...
Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia).
1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya)
2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia.
3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza...
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei,
Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi.
kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...
Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA
Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi.
Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
Wanabodi,
Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
Anonymous
Thread
katika
kero
kichwa
kutoka
maeneo
maji
singida
suwasa
taarifa
ukosefu
ukosefu wa maji
Niaje waungwana
Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la ikulu ya Marekani.
Hapa inawezekana Netanyahu anahusika kuhakikisha Trump haingii makubaliano yoyote...
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...
Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya
Chanzo cha picha,NMG
Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli...
Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na kuzikwa.
Soma:
Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa
Ni mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.