kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kibaha: Mbunge na Meya waumana katikati kikao cha baraza

    Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvester Koka, amezua mvutano katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kibaha baada ya kuingia kwenye kikao bila kuvaa joho na baadaye kukaidi maelekezo ya Meya wa Manispaa hiyo, Dkt. Nicas Mawazo, ambaye ndiye Mwenyekiti wa kikao. Tukio hilo...
  2. T

    Barabara ya kibaha chalinze haitapitika kabisa miaka mitatu ijayo serikali imelala usingizi wa pono!!

    Siku ukipata nafasi kwa wale mliomikoa jirani hebu nenda katulie pale mlandizi alafu uangalie trend ya gari zinazotumia Ile barabara. Idadi ya gari ilishaizidi barabara kwa mbali sana kwa jinsi ambayo ilipaswa njia mbadala iwe inakamilishwa sasa hivi. Kwa bahati mbaya hata kuanza haijaanza...
  3. P

    KERO Kiwanda cha Maranile Industries (Misugusugu/Kongowe - Kibaha) kinaendelea kutoa harufu kali na hewa chafu nyakati za usiku wa manane (Saa 7 - 8 usiku)

    Naandika uzi huu nikiwa mmoja wa wakazi wanaotaabika na kero endelevu ya uchafuzi wa mazingira na hewa unaofanywa na Kiwanda cha Maranile Industries Limited, kilichopo eneo la Misugusugu / Saeni (Kibaha, Mkoa wa Pwani). Kiwanda hicho kinachojihusisha na uzalishaji wa Ethanol, pombe kali pamoja...
  4. Roving Journalist

    Dkt. Rogers Shemwelekwa akabidhi Ofisi kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid ambaye ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo baada ya kukamilisha mchakato wa kuteua wakurugenzi wa Halmashauri...
  5. M

    Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  6. idiomer

    KERO Shule ya Sekondari Zogowale, Kata ya Misugusugu Kibaha Walimu hawana ofice wapo zaidi ya 50 viti havizidi 15

    Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha. Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
  7. Wizara ya Ardhi

    Wananchi kibaha wapongeza mfumo wa e-Ardhi

    Kibaha, Pwani Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha na kuendelea kutumia mfumo wa kielektroniki wa e-Ardhi, unaorahisisha upatikanaji wa hati miliki za ardhi kwa muda mfupi. Kwa mara ya kwanza katika Halmashauri...
  8. makpridash

    Ninaishi KIBAHA, Shughuli zangu ni Kariakoo. Lift inalipwaje, kama Asante?

    Habari kwako wewe Ninajirani anafanyakazi mjini. Anagari mimi sina inafahamika kitamaduni mtanzania humsaidia mwenzie anapoona inafaa. Nitamlipajelipaje mtu anayenipa lift kila siku au mara mbili kwa wiki, mara nne tano kwa mwezi. Na najua nauli yangu inabaki mfukoni. Mimi kama mtu mzima huyu...
  9. C

    Plot for Sale Kibaha Misugusugu

    Habari wanajamii, Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo la Misugusugu, Kibaha. Karibu na kiwanda cha Lulu Cement kina ukubwa wa 400sqm (16m kwa 25m). Kipo katika eno ambalo limepimwa na kupangwa, pia eneo ni tambarare . Umbali kutoka Morogoro Road ni 2.7km bei ni Shilingi milioni nne (4million)...
  10. Mtego wa Noti

    Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
  11. N

    Eneo la Stand ya mabasi la Magufuli pakijaa, watahamishia wapi tena? Kibaha?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
  12. BigTall

    Kibaha Maili Moja - Muheza tumeanza kupata huduma ya maji japo mara chache baada ya kupita miezi kadhaa

    Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate changamoto kubwa katika shughuli zetu za kila siku, lakini tunashukuru kwa sababu kilio chetu hatimaye...
  13. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kibaha Mfipa TZS 5.5M

    Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
  14. A

    Migogoro ya ardhi mtaa wa Sofu, wilayani Kibaha

    Viongozi wa Mtaa wa Sofu, Wilaya ya Kibaha, wamekuwa wakiuuza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya barabara za mitaa pamoja na njia ya umeme mkubwa wa TANESCO unaokwenda katika Mji wa Viwanda Zegereni. Mtaa wa Sofu ulipimwa tangu tarehe 17/09/2015, lakini licha ya hilo, wananchi wanaendelea kuuziwa...
  15. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  16. G

    Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  17. DogoWaNjombe

    Responded Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Watumishi wetu wanaoenda likizo hulipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA UMMA Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
  18. G

    Jamani hamtaki kununua kiwanja changu nipate pesa ya mtaji ,?Ninauza kiwanja changu mwenyewe,kipo kibaha kwa mfipa.

    Bb
  19. G

    Nauza kiwanja changu mwenyewe kipo Kibaha kwa Mfipa

    Kimepimwa kina sq merter za mraba 514 Hiki apa chini, kipo hapo matofali yalipo
  20. G

    Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mfipa

    4
Back
Top Bottom