Habari nyote.
Ni ukumbusho kwenu waafrika timamu. Kwa familia za kiafrika zenye utimamu toka kale zilikuwa na utambulisho wake na falsafa na malezi.
Ni wazi kuwa tamaduni zetu tumezitupilia mbali sana basi tusiache utamaduni wa kurithishana maarifa ya familia mf. Familia wafugaji au wakulima...
Unakuta familia ni ya kitajiri sana lakini akifa tu yule tajiri na utajiri wake unakufa rasmi ukienda sana ni miaka 5 baada ya hapo familia inarudi kwenye poverty ya hali ya juu,
Hii nimeona mahali pengi,wenzenu wameadvance hata wakimnunulia mtoto smartphone wanaenda kwenye settings kipengele Cha parental control,wanaset Kwa kadri ya umri wa mtoto anaetumia hiyo device,maudhui atakayoyaona yaendane na umri wake.Hata applications pia Zina parental control kuonyesha...
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums),
Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
ONYO KWA WAFIA DINI ZA MELI: Andiko hili halitawapendeza hata kidogo na linaweza kuwakwaza sana. Kama huna uvumilivu wa kutosha kusikia ukweli unaochungu kuhusu imani mlizozikumbatia kwa upofu, na kama akili yako haiko tayari kuchambua mambo kwa kina, nakushauri upite mbali na uzi huu. Hapa...
Hatari sana leo
Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja
Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo,
Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai
Mimi Raha hizi Jamani
binadamu
haki
haki za binadamu
kiafrika
mataifa
mbinu
nchi
nchi zinazoendelea
nyuma
rais
rais samia
rais samia:
samia
serikali
serikali.
sheria
sumu
uchumi
uchumi wa nchi
vijana
vijana wa kiafrika
wahujumu
wahujumu uchumi
wimbi
zao
Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi.
1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz
https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj
2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz
https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg
3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo.
Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani, hasa Haiti, kupitia biashara ya utumwa.
Baadhi ya vipengele vya Vodou ni:
Imani katika Mungu mkuu...
Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi.
Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi wake waliosimama. Picha hii ilipigwa mwishoni mwa miaka ya 1950 nchini Gabon.
Msichana huyu akiwa...
Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu.
Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao.
Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa.
Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026.
Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu
Embu nichagulieni Moja na Mimi,..
Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.