kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mke baada ya kusikiliza kesi ya Tundu Lissu amfanyia cross examination mumewe

    MKE BAADA YA KUSIKILIZA KESI YA TUNDU LISSU AMFANYIA CROSS EXAMINATION MUMEWE. Mke: ikupendeze mume wangu naitwa Chausiku Omar mkeo wa ndoa Mume: Nipo timamu mke wangu Mke: Nitaanza kukuuliza kuhusu Khadja Mume: Nakusikiliza Mke: Sasa niambie Khadja ni Nani Mume: Khadja yupi...
  2. Yule kingai wa Mbowe alipanda cheo akawa kama alivyo leo, usishangae katuga wa Lisu kupewa ujaji baada ya kesi.

    Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji. Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe baada ya kesi kufutwa alipewa ujaji wewe unashangaa katuga kuwa nani? Hivi wajua kingai alipanda...
  3. Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  4. Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

    Hivi na nyie hua mnajiuliza ile kauli ya Kingai? Ujue hii Nchi hata samia anaweza kupindisha pindisha kusema kua Lissu yupo mahakaman na akasema atahukumiwa kwa haki,..japo tunajua kesi kuanzia mwanzo hadi sasa ina maelekezo yake. So Samia atazuga zuga kuonyesha uhuru vile, Ila hadi sasa...
  5. Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  6. Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani. Kaa tayari kwa Updates ------------- MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026. Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
  7. Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  8. DED ashinda kesi ya fumanizi/Ugoni Dhidi ya Mfanyabiashara na kupewa Fidia ya Milioni 10

    My Take Nilikuwa sijui kama Ugoni na fumanizi unaweza peleka kesi mahakamani na kudai fidia. =============== Mahakama ya Rufani imethibitisha hukumu ya fidia ya Sh milioni 10 kwa Mkurugenzi wa Manispaa baada ya mfanyabiashara kukutwa na hatia ya kufanya uzinzi na mke wake. Mkurugenzi huyo...
  9. Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

    On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa Tanzania akipigwa live ulingoni na raia wa nchi nyingine, lakini mwisho wa siku majaji wa vitasa wakatoa...
  10. Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  11. Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
  12. Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
  13. R

    Kampuni za Eli Lilly na Novo Nordisk zinazozalisha dawa za GLP-1 zafunguliwa kesi Mahakamani zikidaiwa kuchangia kupoteza uwezo wa kuona

    Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
  14. Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  15. E

    Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  16. M

    Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  17. L

    Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  18. Mwaipopo anajadili kesi iliyopo mahakama ya Tundu Lissu, hii itaathiri hukumu yake

    Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe Majaji nao wanapita mitandaoni wanaweza kumezwa na hii pressure na kutoa hukumu ya kumnyonga Lissu ili akina...
  19. Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  20. M

    Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana. Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa. Wanasema Dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…