Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria.
Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
hukumu ya lissu
katika
kesikesi ya lissu
kusimamia
kuu
lissu
mahakama
mahakama kuu
mahakama nchini
nchini
sheria
uamuzi
uhuru
uhuru wa mahakama
utawala
utawala wa sheria
wakili
Ndugu zangu,
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025.
Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama?
1. UKWELI...
Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana.
1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake.
Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani.
Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
Kwa kuwa viongozi wa CCM wamekuwa wakitamka wazi kwamba vyombo vya dola ni mali yao na wanavitumia vyombo vya dola kubaki madarakani na kwa kuwa hakuna wasemaji waliokanusha kauli zinazotolewa na Wana CCM ni dhahiri kwamba lugha hizi ni za ukweli.
Lakini pamoja na mambo ya namna hii kujitokeza...
Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi. Wengine walikuwa wanabahatisha na kwenda na upepo.
Huu ni utabiri wa tatatu nimeona kwake.
Nasubiri aseme kuna kiongozi aliiba kura akijua atafika 2030 kumbe hatafika.
Kuna mtabiri mwingine kasema atarogwa afe kabla ya...
Nina maswali machache kuhusiana na hukumu ya miaka 4 iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu.
Hivi kama serikali ilikuwa imeshamfungulia Lissu kesi nyingine ya uchochezi iliyokuwa inasubiri hukumu ya kesi ya uhaini ili iendelee kusikilizwa, kwa nini hawa majaji wa kesi ya uhaini kama waliona kuna...
These things have been planned.
Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani.
Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana.
NB
Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
Awamu ya kwanza chini ya utawala wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwatuhumu Bibi Titi na wenzake kwa kosa la uhaini na walipo tiwa hatiani na mahakama walifungwa kifungo cha maisha gerezani.
Leo Lissu itakuwaje? Kunyongwa au kifungo cha maisha gerezani?
Je, utachinja jogoo lako pendwa?
Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu?
Je, utaishukuru mahakama kutenda haki?
Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!!
Je, utaserebuka kwa muziki?
Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
Ndugu wajumbe salamu kwenu.
Leo mimi mwanaCCM mpenda haki nisiye na uchu wa madaraka na mpenda haki
Leo hukumu ya Mwkiti wa Chama kikikuu cha siasa nchini
Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko.
Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
Anonymous
Thread
hukumu
kesikesi ya tundu lissu
kuepusha
lissu
maslahi
maslahi ya umma
mubashara
sintofahamu
tundu
tundu lissu
umma
Hamjambo wote!
Ijumaa tarehe 6. Nitakuwa mmoja wa watu nitakaohudhuria hukumu ya kesi ya Tundu Antipas Lissu. Naamini kila kitu kitaenda sawasawa.
Nitakuwa hapo kama Mwakilishi wa Watibeli.
Mwenye kujua Venue, na muda sahihi anaweza kunijuza nisijefika hukumu imeshasomwa.
Nitakuwepo...
Jerry Rawlings; Kutoka kuhukumiwa kifo kwa uhaini hadi kuwa raisi wa Ghana
Mapema mwaka 1979 Jerry Rawlings, akiwa pilot katika jeshi la Ghana mwenye cheo cha luteni, aliongoza uasi dhidi ya serikali ya raisi wa Ghana Fred Akuffo ambae aliona serikali yake imejaa ufisadi, rushwa, wizi na...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa...
Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu..
Mimi nasema, SIO KWELI na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.