kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye Tsh 40m aje aongeze mtaji tuimport Bidhaa kutoka Kenya

    Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah namuhitaji. Ninahusika nakuingiza Bidhaa flani kutoka Kenya kuja Tanzania soko la hzo Bidhaa lipo na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni Ardhi ya Uhuru na Odinga

    Salaam Kenya haitakaa ipate Serikali ya kutawala. KANU itatawala milele. Forum for the Restoration of Democracy–Kenya (FORD–Kenya) is a Kenyan political party. It was part of the National ya Udinga Watakuwa Wapinzani Milele sababu ya Kinyata. Jeneza la Kinyatta lipo Bungeni, liondolewe pale...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Shandong Yaimarisha Uhusiano kati ya China na Kenya

    Na Tom Wanjala Maonyesho ya nne ya bidhaa zinazouzwa nje ya mkoa wa Shandong nchini China, yaliyofanyika jijini Nairobi wiki iliyopita, yalifana kutokana na idadi kubwa ya watu waliohudhuria. Maonyesho hayo yaliyofanyika kati ya tarehe 16 na 19 mwezi huu, na ambayo lengo lake kuu lilikuwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ranked second in Africa electricity regulatory index

    Kenya inafanya vizuri kwenye sekta hii ya umeme. Kenya ranked second in Africa electricity regulatory index This, as the government continues with reforms in the energy sector. In Summary •The 2021 Electricity Regulatory Index report released at the just concluded 23rd Africa Energy Forum, in...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan leasing firm wins gold mining tender in Tanzania

    Regional leasing firm, Vehicle and Equipment Leasing Limited (VAELL), will be supplying mining equipment to the second largest mine in Tanzania. Machinery worth $20 million (Sh2.2 billion) have been ordered and about $10 million (Sh1.1 billion) has already been delivered. In the arrangement...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yakabiliwa na uhaba wa Kondomu

    Vituo kadhaa vya afya vya umma, hoteli na mikahawa nchini Kenya vinakabiliwa na uhaba wa kondomu kutokana na mvutano wa ushuru kati ya wafadhili na serikali ya Kenya, Gazeti la Daily Nation linaripoti. Mpango ambao hutoa kondomu za bure, sehemu muhimu ya kampeni ya Kenya ya kukabiliana na...
  7. JamiiForums Tanzania How to check form one selection online In Tanzania & Kenya

    In Tanzania students who complete their primary school (standard seven) and perform well in their PSLC NECTA exams are normally selected by TAMISEMI to join various secondary schools located in every ward all over the country to pursue their O-level education for four years. Whereas in Kenya...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soko la kuuza mahindi Kenya

    Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya. Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US Secretary of State Anthony Blinken has landed in Kenya

    Anthony Blinken anatarajiwa kuzungumza na rais Kenyatta kuhusu vita vinavyoendelea Ethiopia pamoja na mambo mengine. Malazy huwa mnapuuzwa ni kama hampo duniani. Poleni zenu.
  10. JamiiForums Tanzania Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge.

    Mcheshi wa Kenya Eric Omondi Jumanne alikamatwa baada ya kujaribu kuvamia majengo ya Bunge. Mchekeshaji huyo ambaye amekuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kwa muda sasa, alijaribu kuwaongoza wasanii wa muziki kuvamia Bunge kwa nia ya kurekebisha tasnia ya muziki nchini Kenya. Akitumia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Soko la China ni kigezo cha kupima ubora wa maua ya Kenya

    Na Tom Wanjala China imetajwa kuwa mwamuzi mkubwa katika soko la kimataifa la maua yanayotoka Kenya. Meneja mauzo wa kampuni ya maua ya Redlands Roses, Bi. Dorcas Gathura anasema kuwa China imesaidia kampuni hii kupanua mauzo yake katika mataifa mbalimbali. Anasema kuwa kinyume na mataifa...
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Six reasons why Kenya shines

    Six reasons why Kenya is standing while rest of the Horn is falling apart: Independent, critical media Assertive civil society Non-politicised military Influential middle class Political elite with vested interest in stability Commitment to democratic path.
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya in election chaos ahead of 2022

    ALERT TO INTERNATIONAL COMMUNITY. Kenya is in election chaos ahead of 2022 as campaigns flagged off unlawfully 2020 by all runners touting Kenya in vigil eyes of IEBC without reprimand to that effect. If 2022 sends Kenya astray, will IEBC be answerable to The Hague? Uhuru fire IEBC. Images by...
  14. JamiiForums Tanzania Mmasai nchini Kenya aacha watu midomo wazi kwa akili kubwa aliyotumia kuegesha gari lake

    Mwanamume wa kimasai aliingia katika benki moja huko Nairobi Kenya kwa lengo la kuomba mkopo. Alimwambia afisa wa mikopo kuwa anaenda Dubai kikazi kwa wiki nne na anahitaji kukopa 5,000 Ksh. Afisa wa benki hiyo akamwambia kwamba benki itahitaji dhamana ya usalama wa mkopo huo. Mmasai akadai...
  15. JamiiForums Tanzania EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kenya wamewezaje kuwa na giants kuliko mataifa yote Afrika Mashariki!?

    Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi. Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito. Hali ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA kuishushia rungu Kenya

    Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk...
  20. JamiiForums Tanzania Mjue Frederick De Klerk 1936-2021 Mkombozi wa Afrika Kusini

    MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021 Mkombozi wa Afrika Kusini Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi. Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala fedhuri Makabulu (boers) wa Afrika kusini. Mtu huyo wa ajabu ni Frederick de Klerk rais wa mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…