kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miradi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja yabadilisha taswira ya Kenya

    Na Kelly Ogome Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API. Kenya ni miongoni mwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Takribani watu milioni 26 wataabika kupata chakula kutokana na ukame

    Takriban watu milioni 26 wanatatizika kupata chakula kufuatia misimu duni ya mvua mfululizo katika Pembe ya Afrika. Hali ya ukame kaskazini mwa Kenya, sehemu kubwa ya Somalia na Kusini mwa Ethiopia inatabiriwa kuendelea hadi angalau katikati ya mwaka ujao, na kuweka maisha ya watu wengi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nissan Tanzania, Toyota Kenya na VW Rwanda

    Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo. Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa. Nasikia hata hao VW...
  5. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Nauli Air Tanzania Dar to Kenya

    Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini katika TWIGA BUSINESS ambacho hakipatikani katika TWIGA BASIC?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wetu waliogomea suala la kuunganisha Tanzania, Uganda na Kenya waliona mbali

    Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya has doubled its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda

    Completion of the new Kipevu Oil Terminal in Mombasa will see Kenya double its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda and Burundi starting January 2022 from the current 35,000 tonnes. The $385 million terminal can handle up to four vessels at a time compared with the...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

    Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

    Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme. ===== Power consumption reaches all-time high MONDAY NOVEMBER 29 2021 By BRIAN NGUGI...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Yanga mnalaana yakuchoma vifaranga wa kenya

    haitawaacha salama
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilipoteza muziki mzuri wa Kenya?

    Nakumbuka back in 2000s hapa bongo tayari bongo flava ilikuwa imebamba lakini bado tulikuwa tunakita ngoma za Kenya kwasababu zilikuwa za moto si mchezo. Nakumbuka wasanii waliokuwa wanatoa ngoma kali kina e sir (rip), nonini, nameless, prezzo, nazis, n.k Enzi hizo hata kwenye awards za...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

  17. W

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili

    Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili kwa siku kuanzia leo Ijumaa tarehe 26 Novemba, 202. #TanzaniaImara💪🏿#TupoVizuri #KaziIendelee🇹🇿
  18. JamiiForums Tanzania US pizza chain Papa John's to open 60 outlets in Kenya and Uganda

    The third-largest pizza delivery restaurant in the world Papa John's International Inc's plans to open 60 fast food outlets in Kenya and Uganda from next year, it announced Tuesday. The American Louisville, Kentucky - based pizza chain said it will open the outlets in a partnership deal with...
  19. JamiiForums Tanzania Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Telecom ya China yatoa huduma bora yenye bei rahisi ya mtandao nchini Kenya

    Kampuni ya Telecom ya China ni moja ya kampuni tatu kuu ya TEHEMA nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni kampuni hiyo pia imeanzisha shughuli katika nchi mbalimbali barani Afrika, na kutoa hoduma bora yenye bei rahisi ya mtandao katika nchi hizo. Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…