kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga aanza kuibadili Kenya

    Kupitia Deep State, Raila aliishauri serikali iondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuja na CBC (Competency Based Curriculum) ambayo ni 233333. Hii iliasisiwa mwaka 2017 baada ya maridhiano yaliyoongozwa na Magufuli PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke . Tz pia miaka mitatu nyuma...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga amzidi William Ruto kwa umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu

    Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza. Odinga amepata kura 39% wakati mpinzani wake katika uchaguzi huo William Ruto ambaye alimtaja Rigathi Gachagua kuwa Mgombea...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Wahalifu Kenya wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki

    Wahalifu sasa wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farmaajo, Rais wa Somalia ambaye aliichukia Kenya sana, abanduliwa katika uchaguzi wa Urais

    Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

    Ubunge iwe ni nafasi ya mtu mwenye uchungu na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi na usiwe kigezo cha mtu kwenda kujichumia mali .
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SRC ya Kenya Yaondoa posho za vikao vya Wabunge.

    Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni . . Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna wabunge 19 wasiokuwa wanachama wa chama siasa wamepokea posho na Per diem. . Wakenya Hii ikoje kwenu
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Idris Elba atembelea Kenya

    Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya. Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for Agricultural Development) Mrembo huyo mwenye asili ya Somali-Canada ni mwanamitindo, alitembelea eneo la...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii Rihanna kuwekeza Kenya

    Tunaendelea vizuri, wanakuja wote. ======= Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna. PHOTO | COURTESY Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna has announced plans to open her new skincare and beauty products line in Kenya. The Kenya launch of the Fenty Beauty...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Afrika tunayotaka

    Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G ama decoder ya TV tunaagizia kutoka nje, je ushawahi kuifungua hapo ndani uangalie vile ni very...
  13. JamiiForums Tanzania Peter Colmore: Mzungu Mswahili wa Kenya na Tanganyika

    PETER COLMORE MZUNGU MSWAHILI WA KENYA NA TANGANYIKA Nilipomaliza kuandika kitabu cha Abdul Sykes nikamwambia Bwana Ally tukae kitako anihadithie maisha yake tuandike kitabu. Ally Sykes akaniambia kuwa yeye hana umuhimu nishaandika historia ya Bwana Abdul (kama mwenyewe alivyopenda kumwita...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka wa 2021 Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa asilimia 7.5

    Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.5% mwaka wa 2021. Hii ni asilimia kubwa sana ya ukuaji wa uchumi katika East and Central Afrika na ni mojawapo ya asilimia kubwa ya ukuaji wa uchumi duniani katika mwaka wa 2021. ========= Economy grows fastest in 11 years on easing Covid curbs THURSDAY MAY 05 2022...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mfuko wenye picha ya simba wazua taharuki kwa wakazi wa kijiji cha Mutiribu

    Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour. =========...
  16. JamiiForums Tanzania Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei Dar ✅Petrol ni Sh. 3100+ ✅Diesel Sh 3200+ Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh ✅Diesel 125.5= 2503Tsh. Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh ✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harmonize ametiwa mbaroni hapa Kenya

    Harmonize ametiwa mbaroni na yuko jela hapa Kenya sasa hivi. Amekamatwa kwa utapeli. Inasemekana amelipwa pesa ila amekataa kufanya show. Ila kuna jambo limefanyika kati ya Eric Omondi na Harmonize ambalo hatuelewi.
  19. JamiiForums Tanzania Plate number za Kenya zinafanya gari kali zionekane mbaya

    Gari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hawana Rais Mstaafu kwa sasa!

    Baada Mheshimiwa Kibaki kufariki jirni zetu hawana Rais Mstaafu wa kupata Nasaha, ushauri na uzoefu. Poleni Kenya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…