kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Wakuu, Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana. Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makundi ya Kenya yaliyofanya maajabu

    THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY) Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa. Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za Klepto na "Tuendelee, Swing, Furahia na Mpenzi." Hata baada ya kusplit na kwenda majuu na kuacha...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waumini waliofariki kwa njaa katika mfungo wafikia 15

    Update: 8 more bodies exhumed from Shakahola; 15 bodies exhumed in 2 days 8 more bodies have been exhumed on the second day of exhumation at the Shakahola area, Kilifi county. This brings the total number of bodies exhumed in two days at 15. The 15 bodies have been exhumed from three...
  6. JamiiForums Tanzania Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

    Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali. Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO. Russia to deliver...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanians in Kenya to study Nairobi Expressway model

    Karibuni majirani Nairobi. Tanzania has on Wednesday, April 19, sent a delegation from the Tanzania National Roads Agency (Tanroads) to visit the Kenya National Highways Authority (KeNHA) on a benchmarking exercise of the Sh1.76 trillion (Ksh88 billion) Nairobi Expressway, Kenyan media has...
  8. JamiiForums Tanzania Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

    Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%. Sote tunajua...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yatangaza Ijumaa ijayo kuwa Sikukuu ya Idd

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Transfoma za Wanaume Mlima Kenya zimezima kwa sababu ya pombe

    Nyeri, Kenya Naibu Rais ameachilia kombora la utani kwa wanaume wa eneo la Kati, akidai wameshindwa na majukumu muhimu ya ndoa kwa sababu ya kutekwa na ulevi. Bw Gachagua alisema wanaume wa Mlima Kenya wamekuwa mateka wa pombe, hasa ile haramu. Alisema athari za pombe zimewalemea kiasi cha...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

    Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga. Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
  13. JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Pay Ksh 900 Million Per Month To Kenya Power For Electricity

  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Satelaiti ya Kenya on air

    Satelaiti ya Kenya tayari ipo angani na inatoa huduma,Bongo tunabungaa macho hata kwa mambo madogo tu ya kisayansi,unaweza kusema hii ndio ardhi ambayo shetani alitupwa,sayansi haieleweki,serikali haina sera wala mikakati wezeshi kwa wavumbuzi wa mawazo,tume ya sayansi na teknolojia huwezi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Setilaiti ya kwanza ya Kenya Taifa-1 yarushwa angani baada ya majaribio matatu

    Taifa-1, setilaiti ya kwanza ya Kenya ya kufuatilia dunia, imerushwa angani kwa roketi ya SpaceX Falcon 9 kutoka kituo cha Anga cha Vandenberg huko California, Marekani. Space-X ambayo makao yake makuu ni nchini Marekani, na hutengeneza na kurusha roketi za kisasa zaidi kwenye anga za juu zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Kenya yafanikiwa kurusha Satelite yake kwenye mzingo wa Dunia kwa kutumia Roketi, Tanzania kufanya hivyo mwaka 2025

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kushindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya warusha satellite angani

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kishindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

    Ijue story ilipoanzia 👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…