kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Tanzania kuwazuia Wageni kufanya biashara katika sekta 15 wazua mjadala Kikanda, hususan nchini Kenya

    Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya. Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
  2. JamiiForums Tanzania CHAN Kenya all Tickets sold out, Tanzania mhhhh!!!!

    Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Matumizi ya AI

    Kenya 🇰🇪 has been ranked the top user of ChatGPT in the world. This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI tool—higher than any other country. === How many people use ChatGPT monthlyThe report showed that the ChatGPT mobile app reported roughly 486...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

    https://www.youtube.com/watch?v=VqJg2dTFm4A
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tony Nyadundo mwanamuziki mashuhuri wa Kenya aliyezaliwa Tanzania na kuileta sifa kubwa Kenya

    Ndo ya Machozi inakubalika kila kona ya Afrika Masgariki
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal Kenya wafanya party kusherehekea usajili wa Viktor Gyökeres

    Wakuu! 😄 Mashabiki wa Arsenal kule Kenya wameamua kupiga party ya nguvu kusherehekea usajili wa mshambuliaji hatari Viktor Gyökeres!
  10. JamiiForums Tanzania HOJA Hadi Madalali wa Kichina? Shida huenda ni uzezeta wa Watanzania, Mbona Nairobi hawapo hao Wachina?

    Watanzania tusipo ukana ukondoo na ubwege ipo siku hawa wageni watatushikisha ukuta. Nimeshangaa sana kwamba kumbe kuna wachina wanatoka China wanakuja kufanya biashara za Udadali Tanzania. Mbona Nairobi moja ya jiji ambalo ni kubwa sana Kibishara mbona Wachina hawaendi kufanya kazi zinazo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Maraga anavyopewa nafasi ya urais Kenya

    Ukipita mitandaoni utakutana na ujumbe (hashtag) #MaragaForPresident #Maraga2027 #RutoMustGo. Hivyo ndivyo vijana wa Kenya wamekuwa wakiandika kuonyesha kuwa wanamkubali Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya, David Kenani Maraga, wakimwona kama sura mpya ya uongozi ambao wanahisi taifa lao linaukosa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwann kenya haina bilionea au maendeleo kenya yanapimwaje??

    Top 20 hamna bilionea wa kenya hata mmoja shida nini hii nchi
  13. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya na Unganda ziungane na kuwa nchi moja

    Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja, Naam ni nchi moja. Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,. Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari watatu wa KDF wamepoteza maisha, saba wajeruhiwa kwa bomu lilotegwa njiani kaunti ya Lamu

    Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya Kiunga-Sankuri, Kaunti ya Lamu Akithibitisha tukio hilo, Naibu Kamishna wa Kaunti Ndogo ya Lamu...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vya maandamano ya sabasaba Kenya, yafikia 43

    Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya Saba Saba nchini Kenya yaliyofanyika Jumatatu iliyopita imepanda na kufikia zaidi ya watu 43, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa na shirika la haki za binadamu, Haki Africa Katika taarifa hiyo mpya, mmoja wa waathiriwa wapya ni kijana mdogo, mtoto wa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chini ya miaka 21 hutoruhusiwa kunywa Pombe

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya pombe, na dawa za kulevya ya mwaka 2025 inapendekeza hatua...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapendekezo sheria mpya marufuku unywaji pombe chini ya miaka 21

    Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera mpya ya kitaifa inayolenga kudhibiti matumizi ya vilevi miongoni mwa vijana. Hatua hii ni mojawapo ya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Fatuma Jehow adai watamwibia kura Rais Ruto 2027

    Mbunge wa Viti Maalum Kaunti ya Wajir, Fatuma Abdi Jehow, amenukuliwa na Buzzroom Kenya akisema kuwa endapo Rais William Ruto hatopata kura za kutosha mwaka 2027 katika eneo la Kaskazini Mashariki (North Eastern), basi watamwibia kura ili ashinde. Katika kile kilichoonekana kama kauli ya mzaha...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni taarifa za wanandoa watarajiwa ikiwemo majina na picha

    Wakuu, Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi. Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…