kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Hongera Kenya kwa kutinga hatua ya robo fainali ya CHAN

    Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo kwa kuongoza kundi. Kenya wanacheza pia kiufundi. Hawachezi tu jihadi, unaona kabisa wanacheza...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm...
  5. JamiiForums Tanzania Utofauti ambao niliuona Kati ya Tanazania na Kenya katika Maisha ni huu hapa

    Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja . Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya. Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  7. JamiiForums Tanzania CAF yasimamisha uuzaji wa tiketi za mechi za CHAN katika uwanja wa Kasarani Kenya

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli. Haya yanajiri muda mfupi tu baada ya CAF kulitoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) faini ya Ksh...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum? Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  10. JamiiForums Tanzania Tunongone,kwa mpira wanaoucheza majirani (Kenya) tukikutana nao kweli tunaweza toboa?

    Kenya chini ya Ben Macchath,naiona ikizidi kuwa much strong beyond,je wakulungwa mnaionaje au mnaushauri gani? Inajivuta kwa nguvu kubwa kutoka shimoni!,we have to pull up our socks!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanafahamu kweli ku brand history ya kenya!

    ๐Ÿ—ฟ Lost Cities of Kenya โ€“ Echoes of a Forgotten Past ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power โ€” now silent, but not forgotten. Here are some of our most fascinating ancient sites: ๐Ÿ› Gedi Ruins โ€“ Kilifi County: ๐ŸŒŠ A...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya Wakanusha Kunyanyaswa Tanzania

    Katika mazingira ambako mjadala unaendelea kuhusu masharti mapya yanayowahusu wafanyabiashara wa kigeni nchini Tanzania, baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kenya wameeleza kuwa wanaendelea na shughuli zao bila bugudha wala usumbufu kutoka kwa mamlaka husika. Mmoja wa wafanyabiashara hao...
  14. JamiiForums Tanzania TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

    Hii timu(kenya) haina wachezaji tishio sana lakini ukiangalia kuna kitu wanakionyesha , jamaa wapo kundi la kifo lakini wanaonesha upinzanI mkali sana. Huyu atatufaa sana kuelekea Afcon 2026
  15. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Donald Trump asema kwa yanayoendelea nchini Kenya kama angekuwa Rais wa Kenya angejiuzulu

  16. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

    Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile. Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena. ๐Ÿš€ Ziwa Natroni...
  17. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania kubania wageni kufanya biashara nchini, Kenya imejibu mapigo

    Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kenya kupitia Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda imesema ina...
  19. JamiiForums Tanzania Sportpesa wadhamini ligi ya kenya kwa Tsh. Bilion 22.6

    Football Kenya Federation (FKF) has unveiled gaming firm SportPesa as the new title sponsor of the Kenyan Premier League starting from the 2025/26 season. The 10-year sponsorship deal is worth Ksh 1.12 billion. The partnership begins with an Ksh 85 million injection for the upcoming season.
  20. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Tanzania kuwazuia Wageni kufanya biashara katika sekta 15 wazua mjadala Kikanda, hususan nchini Kenya

    Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya. Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ