kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa NTV ya Kenya, Amina Abdi afiwa na bibi yake baada ya kupewa chanjo ya COVID-19

    - Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

    Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
  3. JamiiForums Tanzania Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index. • Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika. • Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha. ✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya now top exporter of charcoal in the region

    Hivi jangwa kama Kenya linapata miti ya kuchoma makaa wapi? Tukiwaabia muwache wizi wa makaa ya somalia hamsikii. Haya somalia sasa wamechukua bahari lenu..Pwangu kapata pwanguzi! -------- https://nation.africa/kenya/business/kenya-overtakes-somalia-main-exporter-charcoal-region-3361282
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alifunga ndoa na Lucy Muthoni 1962

    Picha imeambatanishwa
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongoing projects in Kenya

    There is a reason why Uhuru is the best performing President in East Africa when it comes to infrastructure. There's no President both past and present in the entire region that can stand shoulder to shoulder with Uhuru in this sector. Below are top 20 list of ongoing NATIONAL PROJECTS in Kenya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Music Industry: Kenya Vs Tanzania

    Kwenye nyanja mbalimbali kenya wametuacha sana lakini nini tatizo kubwa linalofanya muziki wa Kenya usifanye poa kuliko wa Tanzania kwenye mziki wao? Tz pamoja na kutumia zaidi Swahili katika nyimbo zetu tofauti na majirani Kenya wenye kutumia lugha zaidi ya moja; bado angalau katika soko la...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is more corrupt than Kenya

    Going by the report which CAG just released. I can only say that Uhuru's government was infant in the game of corruption compared to Magufuli's Govt. The only reason Kenya appeared to be more corrupt than Tanzania was because Kenyan media exposed all the dirty deals conducted by the government...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo

    Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kenya kumwaga ugali, UK amekuja akitembea kwa magoti

    Baada ya UK kumwaga mboga, Kenya iliamua kumwaga ugali. Hawa wazungu wanastahili wakikupiga kofi kwenye shavu, usiwape shavu la pili, rudisha nawe kofi au ngumi ili wapate funzo. Sasa foreign minister wa UK na foreign minister wa Kenya wamepigiana simu na kukubali kusitisha vita hivi. Wataunda...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  12. JamiiForums Tanzania Lupita Nyong'o awajibu wakenya wanaomponda kwa kuipenda Tanzania zaidi ya Kenya

    Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania. Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 279 waliopata madhara baada ya kupata astrazeneca, sasa wapo katika hali ya kawaida

    Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya #Kenya imesema watu 279 walioripotiwa kupata madhara baada ya kupata chanjo ya Astrazeneca 272 walipata nafuu baada ya muda mfupi Na wengine saba waliokuwa katika hali mbaya waliropotiwa na kutibiwa ambapo wamerudi katika hali ya kawaida ndani ya muda mfupi PPB...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watu 279 wamedhurika baada ya chanjo ya covid19, mmoja afariki

    Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki. Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021. Kaimu Mkurugenzi wa PPB...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ajali ya mabasi yaua 15

    Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 20 wafariki na wengine 460 wakutwa na maambukizi ya COVID-19 ndani ya saa 24

    Watu 20 zaidi wamefariki kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa Corona nchini Kenya kufikia 2,244 Aidha watu 460 wameripotiwa kupata maambukizi ya virusi kwa saa 24 zilizopita idadi inayofanya walioambukizwa kufikia 139,448 Wizara ya Afya imetangaza watu...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 177 wakamatwa kwa kukiuka hatua za kujikinga na Covid-19 siku ya Pasaka

    Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka. Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe ‘Pubs’ wakiwa wamerundikana na hawana barakoa. Wote waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is the most attractive destination for Japanese firms

    Kenya is the most attractive destination for Japanese firms seeking to make new investments in Africa, a survey has shown, beating the continent’s larger economies like South Africa and Nigeria. The survey, carried out by Japan External Trade Organisation (Jetro) on Japanese-affiliated...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Afisa wa jeshi afariki baada ya kuumwa na mpenziye

    Afisa mmoja wa Jeshi la ulinzi KDF Kenya(umri 37) ameaga dunia baada ya kuumwa mara tatu na mpenziye Violet Asale (umri 27). Idara ya upelelezi DCI imesema kwamba marehemu aliumwa mara tatu; yaani kwenye kidole, kifua na bega baada ya wawili hao kutofautiana usiku katika mtaa wa Kahawa Wendani...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…