kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. #KaziIendelee ====== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

    I should be frank to Madam President on her rushed visit to Kenya to do agreements with unpredicted regime that is full of surprises and about to wind up as early as February 2022. Though I understand through our constitution every President is allowed to have different approach on regional...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

    I should be frank to Madam President on her rushed visit to Kenya to do agreements with unpredicted regime that is full of surprises and about to wind up as early as February 2022. Though I understand through our constitution every President is allowed to have different approach on regional...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China ni mwenzi wa dhati wa Afrika, asema msomi wa Kenya Dkt. Wafula

    Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa. Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii. katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya teaches China a lesson

  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EA markets: Kenya vs Tanzania

  8. JamiiForums Tanzania Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

    Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho. Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya. Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia. Wengi wa wananchi wetu nina uhakika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Samia kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya tarehe 05/05/2021

    Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya. Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani huko Kenya corona imepungua?

    Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

    Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura! Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam yalihitaji atembelee haraka hivyo; bila shaka ni ya manufaa makubwa kwao; na pengine na kwetu pia hadi...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la KEMSA nchini Kenya

    Sakata la Ufisadi wa Kemsa nchini Kenya limesababisha wazungu kuacha kutoa Pesa za Malaria, Ukimwi na afya kwa ujumla! Sasa hivi wagonjwa na waathirika wanahangaika na Viongozi nao wanahangaika kurudisha Imani kwa Mabeberu ili waendelee kupatiwa misaada! Ubinafsi umepitiliza Afrika.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways (KQ) to offer drone services

    Kenya Airways (KQ) has partnered with a United Kingdom-based logistics firm to offer drone services as it seeks to diversify its income source and cut reliance on passenger travel, which has been hard hit by the Covid-19 pandemic. The national carrier announced on Tuesday that it has signed a...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

    The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets. Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituo cha runinga chafungiwa kwa kuonesha vibonzo vya ngono Kenya

    Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeifungua kwa muda wa wiki nne runinga ya Mt. Kenya TV kwa kukikuka sheria na kanuni za maadili. Mamlaka hiyo imeitoza runinga hiyo faini ya Dola 5,000 za Marekani kwa kupeperusha kipindi cha vibonzo kilichokuwa na maudhui yasiyo na staha. Mkurugenzi Mkuu wa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya suspends flights from India as Covid cases surge

    Kenya has suspended passenger flight from India to Kenya for the next 14 days, Health CS Mutahi Kagwe has announced. The new directive will take effect in the next 72 hours. This follows a surge in Covid-19 cases in India. Kagwe however said cargo flights will continue upon adherence to the...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania After pressure on gender imbalance from women grew seeing Samia the first EA lady President, Kenya picked up a lady CJ!

    MY TAKE: Kenya is slowly learning the ropes after seeing Samia Suluhu as the first Lady President in the EA and Anna Makinda as the first lady Speaker in EA! Congratulation. Scholar Makau Mutua has ever been campaigning for a lady President and overall gender balance in Kenya and is a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…