kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

    Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani. Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake. Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nipo kinyume na kwenda kasi kwenye kurudisha mahusiano na Kenya

    Salaam JF, Hivi karibuni Mhe. Rais Samia alifanya ziara nchini Kenya lengo likiwa kurejesha mahusiano ya kibiashara na kidiplomasia na kujenga zaidi ushirikiano baina ya hizi nchi ili kuipa uimara Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kilichonishtua ni kuona namna haya mahusiano yanavyokwenda kwa kasi...
  3. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Ni ngumu kwa Mtanzania kuwekeza Kenya

    Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa. Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Iftar ya Rais Samia ndani ya Ikulu ya Kenya

    Nadhani Rais alihisi yuko Zanzibar kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania MATAGA acheni uoga,umizeni vichwa sio kuiona Kenya kama adui

    Nimepitia nyuzi nyingi sana naona wanazi wa kwenda zake wakianza kumponda mama Samia kwa kufungua mipaka ma Kenya. Hoja zao zilizokufa: 1. Ooh Kenya iko juu kiuchumi watatuzidi tukiwapa gesi 2. Ooh Kenya wana viwanda vingi vyetu vitakufa kisoko. 3. Ooh Kenya watafaidika kuliko sisi n.k. Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

    Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena. Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo. Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Tanzania na Kenya zikishirikiana pande zote zitashinda

    Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Kenya na Tanzania zitashirikiana, ushindi utakuwa wa wananchi wa Nchi hizo mbili. Amesema Mataifa hayo yajiona kama Nchi ambazo zinashindana hazitaweza kupata Wawekezaji wakubwa Ameeleza kuwa, Wananchi wa Mataifa hayo wakijiona kama ndugu na kushirikiana badala...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US$ Billionaire Rostam Aziz scolded at protectionist Kenya

    Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya WEDNESDAY MAY 05 2021 Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI Summary Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru...
  11. JamiiForums Tanzania Bidhaa za Tanzania huwa zinapigwa vita sana Kenya

    Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya. Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita. Wakenya kutoka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

    Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania. Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

    Ukienda kwa Museveni Uganda Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi. Ukienda kwa Kenyatta Kenya Huku utapata sana 'Madili' ya...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

    Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

    Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi. Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
  17. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign. 1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

    Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?
  19. JamiiForums Tanzania Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

    Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio uchumi tajika hapa Afrika Mashariki. Hilo jambo halipingiki

    Yaani kampuni za Kenya zilizo Tanzania zinaajiri Malazy 51,000 huku kampuni za Tanzania zilizo Kenya zikiajiri Wakenya 2,000 only. Halafu bado wivu battalion bado wanataka Tanzania yao ishindane na Kenya kiuchumi. Haiwezekani kamwe. Uchumi wetu wa "kwenye makaratasi" ndio inayoajiri Malazy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…