CEO wa kampuni ya habari ya Standard Group, Chaacha Mwita, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya kuhudumu kwa miezi saba tangu kuteuliwa rasmi, huku kampuni hiyo ikifanya mabadiliko mengine katika bodi yake ya wakurugenzi.
Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, Oktoba 16, 2026, Standard Group...