kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

    Wadau hamjamboni nyote?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  3. JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  4. JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician)

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician) Naishi dar es salaam Mawasiliano: 0756704145
  17. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Secretary/Receptioniat

    Anahitajika Secretary/Receptionist mwenye uzoefu wa miaka miwili na kuendelea, Mwenye Kujua kusoma na kuandika kiingereza vizuri, Uwezo wa kutumia kompyuta hasa microsoft office package, nadhifu na mwenye customer service, Tuma Cv yako ,nakala ya Vyeti na na recent passport picture kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  19. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…