kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Aya kazi kwenu wenye maduka... mifuko laini

    Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
  2. D

    JamiiForums Tanzania KAZI ZA UDEREVA

    MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (NAFASI 2) CIWAYE TRADING COMPANY Limited ni kampuni inayouhusika na usafirishaji wa mizigo tofauti ndani ya nchi. CIWAYE TRADING COMPANY Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, USOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maria space leo haipatikani, naona hata VPN haifanyi kazi. Kwenu vipi? Hata JF kufunguka ni shida

    Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wanachuo, Vijana Msio na Kazi unaweza pata 5000-20,00+ kwa siku kutumia AI

    Hiki kizazi chetu kiko BLESSED na INTERNET. Na kwa mtu yeyote aliesoma hata form four na ana uwezo wa kuelewa lugha zote mbili, Kiswahili na English ana Advantage ya kupata kipato. Sio tu ONLINE hata kwenye maisha yetu ya kila siku mtaani. Kuna vijana wanasaidia makampuni kuuza bidhaa mtaani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  7. JamiiForums Tanzania Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

    Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini. Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh. Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine. Una lipi la kuwashauri wahitimu wa design hii? Courtesy: MwananchiNews
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, nipo Tarime

    Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
  11. JamiiForums Tanzania Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi

    Muongozo kwa Vijana ambao mmetoka Chuo na Ambao mnajiandaa kuingia katika soko la ajira /Kazi. Ikiwa wewe ndo umetoka Chuo na unajiandaa kuingia mtaani na katika soko la ajira /kazi. Baada ya kuhitimu masomo yako jambo la kwanza ni Kufanya ibada ya shukrani kwa Imani yako , kwakuwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
  13. JamiiForums Tanzania KERO Responded Soko la Kariakoo linafunguliwa lini? Naona wana kazi ya kuwasha taa na kuzima tu!

    Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka sasa. Kinachofanyika ni kuwasha taa usiku na kulinda, sasa wanasubiri nini? Maana mpango wa kufungua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya usafi ~Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe. Nina uzoefu na uwezo wa...
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer. 0620696357
  19. JamiiForums Tanzania Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…