ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI?
Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi.
Full...
Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika...
1. UTANGULIZI
Udalali "Winga" ni Nini?Udalali "Winga" ni aina ya udalali unaofanyika Kariakoo ambapo mtu anapata wateja wa bidhaa mbalimbali bila kuwa na duka au ghala la kuhifadhi mzigo.Dalali wa aina hii hutafuta wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kishakuwaunganisha na wauzaji wa...
Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili.
Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Joseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma!
Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi.
Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake.
Hii imekuwa...
Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo.
Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini.
Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu.
Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary.
Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu.
Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Sio kwa sababu ya kuwakwamisha zoezi lenu bali ni kuwasaidia nao kuweka rekodi zao sawa.
Kila nikipita barabara hii ya Morogoro nakutana na makumi kama sio mamia ya Wazee kwa Vijana waliojiajiri kwa shughuli tofauti tofauti.
Wapo Walima mbogamboga, Wapiga paving blocks,Wauza miche,Mafundi...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Hayo makundi yote hapo juu.
Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako.
Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...