kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  2. JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake Luka 9:58 “Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  4. JamiiForums Tanzania TAKUKURU inafanya kazi gani kama mambo yanafanywa hadharani hivi?

    Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
  5. JamiiForums Tanzania Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

    Habari za sahizi waungwana? Naomba mchango wenu wa mawazo. Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti. 1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato. 2.kampuni ya pili nayo...
  7. JamiiForums Tanzania Je huyu ni nani na alikuwa kwa ajili ya kazi gani mahakamani?

    Nakumbuka ile siku ya Eid SSH alipoenda msikitini aliingia MTU msikitini na akaa nyuma ya SSH je huyu alikuwa ni nani ?. Na je anaweza akawa Mwanamke huyu ?.
  8. JamiiForums Tanzania Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na maagent wa KAZI za hotelini Zanzibar

    Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho Hakuna guarantee ya...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

    Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

    Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
  15. JamiiForums Tanzania Mnapoanza kusave majina kama m23, m24 kwenye mahusiano khaa kazi ipoo

    Jana nilikuwa na gfriend kidogo tulienda outin Wiki tatu zilizopita nilimuudhi kidogo Gaflaa nkasema nipige simu yake analalamika haitoi sauti Kupiga naona nimesaviwa M23 Nkashtuka nkamuliza kwa ubaya gani umenipa jina kama hili Mns kuna m24..m25...akaishia kusema sorry alikasirishwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  17. JamiiForums Tanzania I risk for benefits natafuta kazi kwa stake hii

    Habari za muda huu wakuu Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na...
  18. JamiiForums Tanzania Ms Rachel: Mwalimu,mzazi wa pili na dada wa kazi wa Youtube

    Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa. Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi mpya ulioanzishwa na SERIKALI sio mzuri, inakuwaje watu wenye elimu inayofanana na wanafanya kazi taasisi moja kutofautiana salary scale?

    Salam wanajukwaa, Hivi karibuni Serikali kupitia UTUMISHI wametoa waraka mpya unaofanya marekebisho ya kimuundo na mishahara kwa baadhi ya kada ikiwemo Afisa Rasilimali Watu na Maafisa Tawala. Kwa mujibu wa waraka huo mpya, kwa sasa Maafisa Tawala na Maafisa Utumishi mfano waliopo Wizarani na...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

    Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach.. Napatikana humu 0610816834
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…