kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Habari wanajamii? Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu, Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza kuniingizia kipato muda huo nikisubiria leseni na ajira, Nina uzoefu huu; 1) Naweza kukutafutia...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya uzoefu huu;-

    Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha muda huo nikiwa nasubiria kupata leseni yangu ambayo uwezekano wa kuipata ni mwezi wa 7 mwaka huu. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

    Habari wadau. Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji . Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  5. JamiiForums Tanzania Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

    Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi. Au muamue kupeleka...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

    Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa. Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi. Simu...
  8. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji kwenye eneo la kazi

    Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha mtapoteana miaka 50 mbele huko. Nimemwelewa sana. Document hii nimepata kwenye group moja la WhatsApp...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu customer care wa benki hii hana kazi ya kufanya?

    Straight to the topic, Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu. Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya afisa masoko ama usimamizi wa biashara

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 29 . Nna mke na mtoto 1, Naishi Dar Es Salaam Elimu yangu kidato cha nne Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko. UZOEFU WANGU Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

    Habari Za MAJUKUMU wanaJF, Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent). Elimu yangu KIDATO CHA SITA. Nipo Dar es Salaam. Asanteni
  14. T

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Suluhu kwa kuwakumbuka vijana lakini baadhi ya wazee uliowaacha ni wachapa kazi na waadilifu sana. Naomba usiwasahau

    Mhe. Rais, nakushukuru na kukupongeza kwa kutekeleza ahadi uliyotoa ukiwa ziarani mkoani Mwanza juu ya kuteua vijana tu kwenye nafasi ya U-Dc. Mhe. Rais kwa hakika umedhamiria kwa dhati ya moyo wako kuleta mabadiliko makubwa kupitia vijana. Naamini vijana ni jeshi muhimu La mabadiliko kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni tupambane huku Malmö, Sweden. Malipo si mabaya

    Wiki iliyopita nilileta habari ya kutoka Norway na kuja Malmo kwenye kazi. Wapo waliofurahi na kuniombea heri na wapo ambao walikasirika na kunitukana. Yote sawa. Nipo huku kwa kazi kama zile nazofanya Norway, vibarua vya bandarini. Nilipewa huu mchongo, faster tu wala sikutaka kujiuliza mara...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kazi; ma-DC, ma-DAS na ma-DED wapigwe msasa

    Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya. Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi. Tunahitaji viongozi ambao maendeleo ndiyo kitakuwa kipaumbele chao, viongozi wabunifu. Ikiwezekana wapewe na malengo na wapimwe kwa hayo.
  17. JamiiForums Tanzania INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

    Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa wazo la biashara

    Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha. Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na vitangulizi nilivyo navyo. Kwa uzoefu wenu, naomba nisaidiwe wazo la biashara niweze kujikwamua kiuchumi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa. Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau...
  20. JamiiForums Tanzania Waliofanya kazi na Magufuli wamevumilia mengi

    Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi. Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu. Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…