kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu. Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ict-instructor (2 posts)

    VACANCY ANNOUNCEMENT: BACKGROUND INFORMATION: KOMU College of Technology and Management (KCTM) is one of the ICT reputable College in Tanzania offering ICT professional and academic programs. The college is located in Mbeya city. The Principal is pleased to announce two vacancies for ICT...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  5. JamiiForums Tanzania 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unatafuta "Connection"? Hizi ni mbinu tano (5) za kijanja na akili zitakazokusaidia kupata "Connection" ya kazi

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani. Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
  7. JamiiForums Tanzania Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeachishwa kazi na sijalipwa posho stahiki; je, Tume ya Usuluhishi inaweza kunisaidia?

    Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA. Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10 baada ya hapo wakanipeleka mikoani nkafanya kazi huko kwa miaka 2 sasa nikaachishwa kazi huko baada ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

    Leo naomba niwamegee story fupi! Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata! Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata! Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Kariakoo

    Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu.. Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee. Eehh Mungu unisaidie...
  12. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ni vidogo lakini vinakera, na visipofanyiwa kazi umasikini utabaki palepale

    Sasa imekuwa kama mtindo wa maisha kwa watanzania wengi, bila kufahamu kuwa wanapoteza pesa na muda mwingi ambao ungetumika katika kujenga jamii. Baadhi ya watu hasa wa maisha ya kawaida kwa kipindi hiki wameonekana wakifanya sherehe nyingi zisizo za lazima. Nabaki najiuliza nini sababu hasa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uhamasishaji matumizi ya Chanjo dhidibya Covid 19 tupewe kazi hii nyepesi sisi Chadema. CCM na Serikali mmeshindwa. Hamna uhalali wa kuihubiri

    Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu. Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

    Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka pesa fixed deposit/fixed term naombeni ushauri

    Habari wadau..! Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli? Kwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (serikalini) sekta ya mifugo

    MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC. ========= WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwako Unayetafuta Kazi Zingatia Haya!

    Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao. Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PC Nzima inayofanya kazi kwa Tsh 120,000 nipo Dar

    Habari wakuu, Nina 120,000 cash hapa mfukoni nahitaji PC nzima inayofanya kazi uhakika. Kama kuna mtu umu anauza naomba anichek 0672037238 Nipo Dar.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji dada wa kazi anicheki

    Habarini wakubwa, Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine mkoa. So kama kuna mtu anahitaji anicheki PM nimuunganishe naye/nao. ANGALIZO: Mimi sio dalali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…