kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

    Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF. Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

    Habari wadau..! Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu. Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani. Ila hawa waduanzi...
  3. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi

    Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse! jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
  4. JamiiForums Tanzania Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

    Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nini ni kazi ya tovuti kwa mjasiriamali?

    Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi. Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  10. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula

    TANGAZO NAFASI ZA KAZI AJIRA ZA MKATABA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ligula unawakaribisha wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi za mkataba (30) zilizowazi kama ifuatavyo: - 1. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II NAFASI (14) 1.1 SIFA ZA MWOMBAJI Awe amehitimu stashahada...
  12. JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

    Habari zenu Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa...
  13. JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo pumzika, acha vijana wafanye kazi

    Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya. Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

    Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka. Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria. Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
  16. JamiiForums Tanzania Connection ya TV na subwoofer haifanyi kazi

    Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi. Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania DED wa Gairo aliyepiga bati asimamishwa kazi.

    Safi.. Maana ilikuwa inatia doa kwa Serikali.
  18. Q

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo aliyeiba mabati ya Shule asimamishwa kazi.

  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu Bcs Environmental Health Officer & Health and Safety Officer expert (HSE)

    Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction...
  20. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kwenye usaili kazi za polisi mkoa wa rukwa

    Kuitwa kwenye usaili Polisi Rukwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…