kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Utumishi waache siasa kwenye kazi

    Habari za wakti huu; Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi/ sehemu ya kujitolea

    Habari za asubuhi ndugu! Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu. Nipo tayari kujitolea...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
  4. JamiiForums Tanzania Kama huna 'Commitment' na kazi uliyonayo, usikimbilie kujiajiri

    Siku hizi kumezuka na Motivational Speakers wenye kuwashawishi watu kuwa kazi ni Utumwa na kamwe hutokaa utajirike. Kwamba, mwajiri wako atakutumia anavyotaka na kamwe hutokaa utajirike. Muda wako unakuwa kwa ajili ya kuendelea kuneemesha muajiri wako, yeye akiendelea kutajirika huku wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza kazi iliyokuwa inanipa heshima mjini pia nimepoteza na marafiki zangu wote

    Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia. Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi. Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  7. JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa: BASATA haitafanya kazi za Kipolisi

    SERIKALI imesema kuwa kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Korona Wasanii wanaojisajiriwa na BASATA sasa watatumia mfumo wa Kidigitali badala ya kufika moja kwenye taasisi hiyo ili kupunguza kuenea kwa maambukizi ya Korona nchini. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni...
  8. JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    Habari wakuu!! Huu ni ushauri kwa watu wote waliopo kwenye ajira sehemu mbali mbali serikalini au makampuni binafsi n.k, Haiijarishi wewe ni polisi, mwanajeshi, Mwalimu, daktari, mhasibu, sekretari, mwandishi wa habari, kiongozi wa kisiasa, Modetator JF n.k hata kama unalipwa elfu moja kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tangu 2013 alipohitimu anatafuta kazi, anaishi kwa wazazi, nimshauri vipi?

    Unajua kuna kipindi inafika sisi kama vijana tuwe tunaamka kiukweli, Ndio penye nia pana njia, washindi hawakati tamaa, bidii huzaa matunda, n.k lakini haya mambo yana mazingira yake. Nina rafiki yangu alihitimu mwaka 2013 ana degree ya uhasibu (accounting) na diploma ya procurement, yupo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa huu ni mwezi wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kinaanza kazi lini?

    Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi unazoweza kupata haraka ukifika Marekani

    Ukifika marekani sikiliza kazi unazoweza pata haraka
  12. JamiiForums Tanzania Aliyesimamishwa kazi asema video zilizosambaa zikionyesha hakuchomwa chanjo ya Covid-19 zimechezewa

    Arusha. Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 . Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kilichomfukuzisha kazi Maulidi Kitenge Wasafi FM chajulikana

    Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kutoka Wasafi FM, Maulidi Kitenge amekuwa akienda nchini Marekani kwa mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Nina Shahada katika masuala ya TEHAMA, natafuta kazi

    Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani. Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali. Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika nguvu kazi

    Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku) Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani Urefu 70 upana 35 Bei ni 4.5 milion Hati bado haijalipiwa 0786180342 Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
  16. JamiiForums Tanzania Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wapwaa! idea ni kazi au kazi ni idea ?

    Wakuu! nipo jiji la Makalla ,naeza fanya kazi yoyote inayohitaji IDEA(s) ili kazi ifanyike Nina ka-bachelor ka Philosophy with education (specialized in Philosophy and Linguistics) Tuinuane kwa lolote wakuu! iwe ni wazo la kupambana kitaa au connection etc
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Natafuta kazi katika nyanja ya kilimo na mifugo nina Diploma ya General Agriculture wadau naomba msaada wenu.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ngumu

    Habarini wapendwa poleni na majukumu. MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27. Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k Ujuzi nilionao : *kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai) *Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer TUSAIDIANE HATA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…