kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Usajili wa magari ya serikali umefikia “STN” kazi iendelee

    Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN. Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo! Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
  2. JamiiForums Tanzania Mdada anaejua kazi za saloon

    Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike) Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo. Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi. OFISI/SALOON ipo MBEZI...
  3. JamiiForums Tanzania Miriam Migomba aacha kazi TBC

    Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu. Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali na Mahakama vyote havifanyi kazi vizuri 🤔

    Bunge letu ni fake na halitoi majibu Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu. Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
  6. JamiiForums Tanzania Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya ununuzi na ugavi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,nina diploma ya manunuzi na ugavi kutoka chuo cha utumishi wa umma. Nina uzoefu wa kutosha kutokana na kufanya kazi sehemu tofauti ikiwemo halmashauri ya busokelo,tarura pamoja na tazara. Pia field nilizozifanya wakati ninasoma chuo.mazingira rahisi kwangu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

    Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo. NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Odometer na fuel gauge hazifanyi kazi

    Habari wana jamvi , Nina toyota crown nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu , Leo katika kuwasha gari asubuhi ,ghafla nakuta gauge /mshare wa mafuta haufanyi kazi vizuri ,yaani unashuka na kupanda mafuta yapo robo tatu tanki. Vile vile odometer yaani kilometa za gari hazitembei kabisa ,yaani...
  10. JamiiForums Tanzania Gazeti kubwa marekani la WSJ linadai Elon Musk anatumia illegal drugs ikiwemo Magic Mushrooms ili ku-boost ufanyaji kazi wake.

    Gazeti kubwa marekani la WALLSTREET JOURNAL linadai Elon Musk ameshiriki kwenye matumizi ya madawa yasiyoruhusiwa kama vile LSD, cocaine, ecstasy na psychedelic mushrooms (Magic Mushroom) hasa hasa katika private parties. Matumizi hayo yanahusishwa na yeye kuboost uwezo wake wa kufanya kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo kundi hili tena wengine wasomi. Alafu kuna ambao ni Chizi Maarifa hawa wengi ukiwaona kwa mbali...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

    ni kwann pccb wanalipwa hela nyingi sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hongereni TPDF kwa kazi nzuri mnayofanya Congo DR; M23 wasitutishe wala kuturudisha nyuma tuwashughulikie

    M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya. Malalamiko yao yanakuja baada ya Jeshi la Tanzania kuamua kumalizana nao kwa kichapo hasa ikizingatiwa waliwahi kuwaua wanajeshi wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

    DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha. https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Djaro Arungu aacha kazi TBC

    Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM. ANGALIA VIDEO HAPA Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20. Written by Mjanja M1 ✍️
  16. M

    JamiiForums Tanzania Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

    habari ya jumamosi. ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi. mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus. nawaza...
  17. JamiiForums Tanzania Nmepata kazi nyingine, mshahara mdogo. Nipeni ushauri jinsi ya kuadjust lifestyle

    Hello, Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya. Wengi mlinisimanga sana humu. Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nimemkamata binti wa dukani kaniibia kwa mbinu aliyoniibia mwanzo, Kazi hana mshahara umekwenda

    Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili. Niliweka binti wa kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

    Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia. Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani ndoto yangu kubwa ilikua ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…