kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  2. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa, poleni na kazi ya kulijenga taifa letu ilhali mkiubomoa utaifa wetu!

    "Poleni na kazi" Kauli hii ndiyo aghalabu ilikuwa ikitumiwa na mtu kuwapongeza ama kuwashajihisha kila awakutapo watu ama mtu kazini. Na hata wakati mtu anapotoka kazini wale wenye kutaka kumpa faraja walikuwa wakimwambia pole na kazi; hata hivyo maneno kama ilivyo maumbo ya watu na vitu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Misomisondo wana mwanasheria wa kuwasaidia kutengeneza mikataba yenye tija kwa kazi wanazofanyishwa na makampuni ya kibiashara?

    Tanzania imekuwa eneo moja wapo la matajiri kuwatumia maskini kunufaika kibiashara Vijana kutoka kijijini na makoti yao wameingia mjini; joto ni kali lakini muda wote wamevaa makoti wanacheza barabarani na kwenye kumbi kutangaza biashara za watu. Kwa fedha makampuni wanazoigiza kupitia vijana...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdada wa kazi ambaye anaishi kwa kunyanyasika alipo kwa sasa

    UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe. Anahitajika mdada wa kazi Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2. Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana...
  5. JamiiForums Tanzania Uonevu mkubwa kwa Ebrahim Yusuph kazi wa Yemen

    Habarini Wadau, Nimesoma habari ya Mzee Ebrahim Yusuph Kazi mzaliwa wa Yemen, huyu Mzee alifungwa miaka ya 1979 na 1986 kwa makosa matano ya kuwaoa na kulala na watoto wenye chini ya miaka 13 Mwaka 2011 akiwa na miaka 67 yeye mwenyewe alikiri kumuoa mtoto wa miaka 8 na kulala nae ila kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  7. JamiiForums Tanzania Ayub Ryoba wa TBC fanya kazi punguza uchawa

    TBC redio ni shirika la umma kwa ajili ya kuhabarisha wananchi na hasa wa hali ya kawaida bila kujali itikadi zao za kisiasa. Aidha shirika linapaswa kutoa habari na burudani kwa nchi nzima. Jambo la kusikitisha haki hii ya kupata habari na burudani haiwafikii Watanzania walio wengi kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao. Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza. Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi fuatilia utendaji kazi wa Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Kilimanjaro

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro. "Utakuja kunikumbuka" Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki azindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya shilingi bilioni 6

    • Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili Bodi ya Maabara Binafsi za Afya yasema inafanyia kazi Madai ya Maabara kutoa majibu ya Uongo

    ============= Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ni chombo chini ya Wizara ya Afya kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Usimamizi wa Maabara Binafsi za Afya ya Mwaka 1997 (Sura 136) kwa lengo la kusajili na kusimamia Maabara binafsi za Afya nchini. Ofisi ya Msajili Bodi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake? Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Survey na Kuchimba kisima

  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kazi katika interview

    Habari wapendwa. Hivi kwenye interview Kuna swali la uzoefu wako katika kazi hiyo uloomba mfano muhasibu aidha wanakuambia wa mwaka au miaka mi2 swali hili naweza jibu vp ikiwa sijawahi ajiriwa toka kumaliza chuo na kazi naitaka?
  16. JamiiForums Tanzania Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo. Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa. Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo. Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

    Habari za majukumu wapendwa,jambo hili linanitesa sana nafsi yangu,limeharibu maisha yangu yote kiujumla,sasa hata kuilea familia yangu yenye mke na watoto wanne imekuwa ni ngumu sana kutokana na kiongozi huyu wa dini kuchukua kitendea kazi changu kikuu katika ofisi yangu(ni mwaka takribani wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Usioe "secretari" anayefanya kazi ofisi yoyote. Utanishukuru

    Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo. Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Anaetoa assist ya goli na mfungaji, yupi hufanya kazi kubwa?

    Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji. Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…